Kenya Mwendazake hapendwi na mfumo,lakini walalahoi wanamkubali sana.Nipo hapa naangalia KTN kwenye kipindi (LEO MASHINANI) naona wameweka Kipindi cha ZIARA YA RAIS SAMIA.
Wanamponda sana Mwendazake na kumsifia Mama Samia.
Kutia doleNeno gani? Mbususu ama!
Kawaida kwa wazenjiMzanzibar anamaneno huyu
Viongozi wenu wanapozungumza kwenye hotuba, mnatakiwa muwe watulivu sana sana, unasikiliza mstari baada ya mstari na ndio utaelewa kwa kina, na hata maneno yanayochomekewapia uyagundue, maana mengine yananogesha, nimeirudia na uona hata walinzi wa kike nao waliingia kwenye mkumbo kusikia lile neno, Kiswahili kina ufundi kukizungumza. Samia kweli nae alipigilia msumari kivyake.Neno gani? Mbususu ama!
Huyu kinyata ni mhuni ,anamzingua maza ,na maza kamzingua
Kwa hivyo unamaanisha ya kwamba mama pia ni mhuni 😂?Huyu kinyata ni mhuni ,anamzingua maza ,na maza kamzingua
Ntamkumbuka kwa mabaya tu hta iwejeNaona sasa ni mwendo wa kupukuchulia angani rasilimali za nchi yetu; sasa zile harakati za kupishana angani zinanyemelea baada ya kuzinduliwa rasmi pale kwa M7. Bi Mkubwa hasomeki, kurasa za hotuba na ahadi zake tifutifu & futefute zimefutika.
#Mtanikumbuka kwa mema, na wala si kwa mabaya.
Tanzania sio kisiwa mama lazima atokeSogea Chato ukapalilie kaburi, acha kulialia.. Rais lazima azunguke kulitafutia taifa maendeleo.. sio kujifungia ndani kishamba na kukwapua hela za mifuko ya jamii na hela za wafanyabiashara wakubwa.
Dah we jamaaa hahahahaRais kipenzi cha watanzania wazalendo. Majizi na mafisadi ya kanda ile yamenuna.