Rais Samia Suluhu awasili Kenya, aweka kidole Mkataba wa Bomba la gesi Dar-Mombasa

Rais Samia Suluhu awasili Kenya, aweka kidole Mkataba wa Bomba la gesi Dar-Mombasa

Ndugu, kama yeye na JPM Ni kitu ki1. Anapasqa kwenda kwenye miradi ya maendeleo tena ile inayogusa wananchi moja kwa moja. Kinyume na hapo anakuwa amemsaliti Mwendazake.
kusema ni kitu kimoja haimaanishi wanatabia zilizo fanana.
kila mtu ana style yake ya kuwafikia wananchi. si lazima aige kila kitu kutoka kwa marehemu.
 
kwahiyo gas nazo aliuza mwendazake[emoji23][emoji23][emoji23].

kwani adui yenu hasa walalamikaji ni nani???
Kuna sehemu nimesema kuwa meko ndio ameuza gesi?adui mkubwa wa nchi hii ni CCM!!kwani hizi hasara zote hata za gesi hiyo meko na yeye analawama zake, kwani kipindi kile alikuwa mbunge, wakati wapinzani wanatoka bungeni kupinga upitishwaji wa mikataba hiyo, wakaipitisha kwa mbwembwe!!Hata mama samia , hawezi fanya cha ajabu sana ila kidogo ana ule moyo wa kuwa kiongozi wa kutia watu matumaini, na sio kuwajaza watu woga, na hofu ukidhania ndio uongozi!!KI UKWELI MEKO HAPANA!!hata kama mama ana mapungufu yake lakini hawezi mfikia meko khaaaaa!!
 
Picha namba tatu hapo juu wakati anakagua gwaride mbona sioni walinzi wa suti nyeusi, naona Rais Samia na hao wanajeshi wa Kenya tu.

Pia Picha namba moja naona anayefungua Mlango wa gari ya Rais ni huyo mwanajeshi mmama wa Kenya.

Huku kwetu Rais akikagua gwaride lazima aambatane na walinzi/Kaunda suti . Pia wakati wa kufungua Mlango wa gari ya Rais lazima awe Suti nyeusi.

Anyway Wazee wa Protocol za Kiusalama na Gwaride watusaidie
 
Muulize jiwe, anamuiga.
Yes naona sasa hivi ndege yake ipo usawa wa Arusha ikelekea Nairobi. Hivi kwanini anatumia ndege za ATCL, ile aliyonunua Mramba ipo wapi?
 
Shida zipi hizo alizoweza kuziondoa kutokana na kutumia barabara??labda kugawa mabunda ya pesa!!mbona kila alipokuwa akirudi tena sehemu zile zile alikuwa akikutana na kero zile zile?yeye hakupenda kudanganywa lakini alikuwa ni mtaalamu wa kulisha wenzake matango poli(kupika data za uongo), kamwe huwezi kuongoza nchi pekee yako bila kuwaachia wenzako madaraka, mfano na ukali wote huo kwenye wizara ya maji amefanya nini, pesa zinapigwa kila leo, na kila mala ilikuwa kumpa sifa tu waziri aweso, huko kwa jafo nako ni tabu tu!!, tumpe muda mama, ameanza vizuri , kwa kupenda sera za ushirikiano na majirani, ktk nchi za afrika Kenya ndio muwekezaji mkubwa nchini, sasa kwa roho yako mbaya unamchukia, mala vibali vya kufanyia kazi uwanyime!matokeo yake ndio hayo tuliyaona, wafanya biashara wa Tz, kilio kila sehemu kwenye soko la kenya, hata uhusiano na UGANDA RWANDA, ZAMBIA, ulidorora yeye hilo hakuliona!!ila hata CCM, watakuwa wamepata somo kubwa sana,
Wewe Muongo mkubwa,uhusiano wa uganda ulilega kipindi cha Magufuri?jaribu kutumia akiri yako vizuri sio hisia,Kabla ya Magufuri uganda waliisha kubaliana na Kenya kupitisha bomba la mafuta Kenya, Magufuri ndiye aliyearibu mpango huo,Kabla ya Magufuri Rwanda na Uganda mizigo yao ilikuwa ikipita bandari ya Mombasa sasahivi nenda bandarini utafute takwimu kuhusu mizigo iyopita hapa kwenda Uganda na Rwanda,ungelisema uhusiano wa nchi za Uganda na Rwanda ulilega enzi za Kikwete ningelikuelewa sio kwa Magufuri, Mpaka ilifika Tanzania tulitengwa Rwanda,Kenya, Uganda walianzisha umoja wao,sijui wewe ulikuwa bado unanyonya,Nitatajie kiongozi yupi Africa Mashariki ambaye ajafika Tanzania ktk utawala wa Magufuri.
 
Kwenye picha ya saba kutoka juu namuona Rais Kenyatta akiwa na First Lady wa Kenya, lakini simuoni First Gentleman wa Tanzania Bali namuona Mama peke yake! Kidiplomasia imekaaje hiyo?
 
Wewe Muongo mkubwa,uhusiano wa uganda ulilega kipindi cha Magufuri?jaribu kutumia akiri yako vizuri sio hisia,Kabla ya Magufuri uganda waliisha kubaliana na Kenya kupitisha bomba la mafuta Kenya, Magufuri ndiye aliyearibu mpango huo,Kabla ya Magufuri Rwanda na Uganda mizigo yao ilikuwa ikipita bandari ya Mombasa sasahivi nenda bandarini utafute takwimu kuhusu mizigo iyopita hapa kwenda Uganda na Rwanda,ungelisema uhusiano wa nchi za Uganda na Rwanda ulilega enzi za Kikwete ningelikuelewa sio kwa Magufuri, Mpaka ilifika Tanzania tulitengwa Rwanda,Kenya, Uganda walianzisha umoja wao,sijui wewe ulikuwa bado unanyonya,Nitatajie kiongozi yupi Africa Mashariki ambaye ajafika Tanzania ktk utawala wa Magufuri.
Tatizo wakenya wamevamia humu jf kwa lengo la kutoa negative comments wakisaidiwa na ufipa squad kwa uongozi wa magufuli. Wana jukwaa lao huko kenya linaitwa Kenya talk lakini ni useless na haliko active kama jamii forums!
 
Wewe Muongo mkubwa,uhusiano wa uganda ulilega kipindi cha Magufuri?jaribu kutumia akiri yako vizuri sio hisia,Kabla ya Magufuri uganda waliisha kubaliana na Kenya kupitisha bomba la mafuta Kenya, Magufuri ndiye aliyearibu mpango huo,Kabla ya Magufuri Rwanda na Uganda mizigo yao ilikuwa ikipita bandari ya Mombasa sasahivi nenda bandarini utafute takwimu kuhusu mizigo iyopita hapa kwenda Uganda na Rwanda,ungelisema uhusiano wa nchi za Uganda na Rwanda ulilega enzi za Kikwete ningelikuelewa sio kwa Magufuri, Mpaka ilifika Tanzania tulitengwa Rwanda,Kenya, Uganda walianzisha umoja wao,sijui wewe ulikuwa bado unanyonya,Nitatajie kiongozi yupi Africa Mashariki ambaye ajafika Tanzania ktk utawala wa Magufuri.
usipate tabu, hao ilikuwa ni wivu tu kuona viongozi wakubwa duniani wanakuja kwa JK tu kama rais wa China na Marekani mpaka marais wastaafu wa marekani walijikuta wakikutana TZ kwa matukio tofauti. Bush akiwa presidaa alikuja na Obama hivyo hivyo. Hela za melenium development goal kwa east Afrika zote zilikuwa zinakuja Tz ndo sehemu kubwa zilizojenga barabara za lami zinazounganisha mikoa nchi nzima ambazo leo unapita kwenye barabara hizo raha mstarehe bila kurushwa rushwa na gari na kisimu chako ukimtukana huyohuyo JK mitandaoni. Mungu aendelee kumpa maisha marefu maana nyie binadamu hamnaga shukurani lakini Mungu hampunji mja wake. kwa hiyo usishangae hao akina mista slimu-kagame na wenzake kumchukia mshua JK.
 
Wewe ndio mwenye chuki na Magufuri,uliyesema Magufuri alikuwa na uhusiano mbaya na wenzake wa africa Mashariki,nimekupa facts unaanza kusema hao walikuwa na wivu na Jk,nimekuuliza nitajie rais yupi Africa Mashariki ambaye ajafika Tanzania wakati wa Magufuri,unaanza kutaja wakina Bush,akina Bush walikuwa na biashara zao tu,sindio walikuja kuzindua mitambo yao ya Simbion pale ubungo?Hizo barabara unazosema Magufuri kazitandaza pasipo msaada wa hao Wazungu
 
Wewe Muongo mkubwa,uhusiano wa uganda ulilega kipindi cha Magufuri?jaribu kutumia akiri yako vizuri sio hisia,Kabla ya Magufuri uganda waliisha kubaliana na Kenya kupitisha bomba la mafuta Kenya, Magufuri ndiye aliyearibu mpango huo,Kabla ya Magufuri Rwanda na Uganda mizigo yao ilikuwa ikipita bandari ya Mombasa sasahivi nenda bandarini utafute takwimu kuhusu mizigo iyopita hapa kwenda Uganda na Rwanda,ungelisema uhusiano wa nchi za Uganda na Rwanda ulilega enzi za Kikwete ningelikuelewa sio kwa Magufuri, Mpaka ilifika Tanzania tulitengwa Rwanda,Kenya, Uganda walianzisha umoja wao,sijui wewe ulikuwa bado unanyonya,Nitatajie kiongozi yupi Africa Mashariki ambaye ajafika Tanzania ktk utawala wa Magufuri.
Uwe unajaribu kusoma between lines!!mtu kusema uhusiano ulidorora sio kama umekufa, ukitaka kulijua hilo nenda kagera pale mtukukura, ukaulizie kilichowakuta wafanya biashara wa kiganda!!hadi sasa bidhaa nyingi watu wa kagera wanafuata KATORO, Ulizia zile safari za aitcl kwenda uganda, ziliishia wapi!!wewe unakazania tu mala bandari kupitisha mizigo, kwani kiongozi wa nchi fulani kuja kwako ndio kuwa hakuna utofauti??KENYATA, alikuja mala ngapi Tz?lakini mbona ndio aliyekuwa muhanga mkubwa , na akaja hadi kumzika kabisa?!!
 
Naona sasa ni mwendo wa kupukuchulia angani rasilimali za nchi yetu; sasa zile harakati za kupishana angani zinanyemelea baada ya kuzinduliwa rasmi pale kwa M7. Bi Mkubwa hasomeki, kurasa za hotuba na ahadi zake tifutifu & futefute zimefutika.

#Mtanikumbuka kwa mema, na wala si kwa mabaya.
Ni heri awe na safari nyingi za nje kama yule msafiri wa kale Vasco da Gama, kuliko kuendesha kampeni ya kuteka na kutesa wakosoaji wake kama alivyofanya Magufuli.
Hatutarajii kuona ule unyama wa rais anayeziba midomo watu wake kwa kuwateka na kuwabambikia kesi za kutakatisha kisa tu umemkosoa.
 
Zanzibar wameondoa mambo ya mafuta na gesi kuwa ya muungano lakini leo mzanzibar anasaini mkataba wa gesi ya Tanganyika hii sio halali
 
Mkuu hakuna cha Pagatory! Njia ni mbili 2,Uzimani au Upotevuni,(Mathayo7:13-14) na (Luka 16:19-22,22-25).Kama mtu hakutubu dhambi zake alipokuwa hai,moja kwa moja ni Upotevuni,(Waebrania9:27).
Katika imani za ndani kabisa za anakh, soul kama kitu cha kipekee mara kifanyapo uovu yapasa utubu TENA bila kurudia uovu ili kwenda kugonga DNA au stamp baada tu ya kupita purgatory the kurudi kwenye familia yake kusubiri reincarnation its tooks about 200+...
 
Kenyatta ni smart sana,kamuwahi bado mbichi wakati yupo kwenye harakati za kujifunza katumia mwanya huo huo kufanikisha yake.

Inabidi tuwe waangalifu sana majirani WAKOLA.
 
Hii GULFSTREAM G550 ni moto wa kuotea mbali na ni ndege ya kufanya safari za masafa marefu (intercontinental) Imagine Bongo to USA inapasua kwa saa 9 tu na hakuna kutoa popote.
WACHA URONGO wewe !

Gulfstream G550 haifiki hata kufika Marekani kutokea Bongo!

Umbali kati ya Tanzania na Marekani ni maili 8,775 (Dodoma, katikati ya nchi mpaka Wichita,Kansas, katikati ya nchi)

Max Range ya Gulfstream G550 ni maili 7, 770

HAIFIKI!

Na kama ingefika ingechukua saa 15!

Maximum Range DIVIDE BY maximum speed of G550

8,8775 miles DIVIDE BY 585 miles per hour

= 15 hours
 
It's true,mwacheni mwendazake apumzike,na tumwombee apite purgatory kwa amani,maana hapo ndipo pagumu kweli kupita.
*hufanikiwi kupita hapa kwa maombi ya walio hai,hapo unapita kwa wema na uzuri ulioufanya duniani.
Hyo yote ni hadithi tu za kusadikika na kuishana.
Mwendazake amefanya kazi iliyo tukuka na wala hajui , hana hisia na , hana ushawishi , hawezi kubadili kitu kwa yanayo endelea sasa.
Lakini wa hakika jambo moja ambalo ni halisi kuwa mwendazake atakumbukwa kwa uzalendo na mazuri yake kuliko kwa mabaya yake, ni suala la muda tu.
 
Back
Top Bottom