Mr.panya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 248
- 278
Ila Rwanda ndio wa kwanzaKatika majirani ninaowaona miyeyusho kenya wamo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Rwanda ndio wa kwanzaKatika majirani ninaowaona miyeyusho kenya wamo
MK254 usicheze mbali kutimiza adhma yako.
Mama ameshawasili kurekebisha mahusiano yaliyoraruliwa na kujeruhiwa.
Ujirani mwema muhimu sana
Apite wapi aseme alikoben saanane na wale waliookokwa pwani kwanzaIt's true,mwacheni mwendazake apumzike,na tumwombee apite purgatory kwa amani,maana hapo ndipo pagumu kweli kupita.
*hufanikiwi kupita hapa kwa maombi ya walio hai,hapo unapita kwa wema na uzuri ulioufanya duniani.
Ukitaka kusave gharama hii ndo best option.Hivi "air Tanzania ndio ndege ya Rais"
Relax mkuu.Watu mnagubu sana, Mapokezi na heshima aliyoyapata mama Samia ni makubwa na yenye hadhi ya kumpokea Rais.
Uwanja wa ndege amepokelewa na Waziri na baada ya hapo Rais Kenyata akampokea Ikulu na kisha Mama Samia kukagua gwaride maalim na kupigiwa mizinga 21.
We msukuma rudi chato kwa ndugu yakoNaona sasa ni mwendo wa kupukuchulia angani rasilimali za nchi yetu; sasa zile harakati za kupishana angani zinanyemelea baada ya kuzinduliwa rasmi pale kwa M7. Bi Mkubwa hasomeki, kurasa za hotuba na ahadi zake tifutifu & futefute zimefutika.
#Mtanikumbuka kwa mema, na wala si kwa mabaya.
Kwa mtindo huu itakuwa vigumu sana kwa ATCL ku- breakthrough. Aviation industry si lelemama.Hivyo ndivyo ninavyokumbuka na zinaendelea kutumika hadi sasa ingawa haiondoi uhalali wa mawazo yako kuwa sio matumizi sahihi kibiashara. Kingine kumbuka kuwa mwaka 2018 ndege hizo zilihamishiwa ofisi ya Raisi - Ikulu. Kwa hiyo ziko chini ya Ikulu
Umeona eee lile jamaa lilikuwa shamba sanaa.kagane na mseveni wanaiba congo kwa maslahi ya nchi zao sisi tunajidungia ndani kisukuma tunawaibia ndugu zetu tena kwa mitutu ya bunduki ulikuwa ujinga.Sogea Chato ukapalilie kaburi, acha kulialia.. Rais lazima azunguke kulitafutia taifa maendeleo.. sio kujifungia ndani kishamba na kukwapua hela za mifuko ya jamii na hela za wafanyabiashara wakubwa.
Chuki itakuua hivi karibuni!Kusafiri ama kuwa na staili yake siyo hoja. Hapa tunazungumzia harakati za kupukuchulia angani na vibwekani rasilimali za Watanzania. Asije huyu Bi Mkubwa akatudanganya kuwa yeye ni JPM & JPM ni yeye...
Nonsense!Huyu SSH ni hasara kwa Taifa, hii miaka minne iishe tu tupate Rais na sio national comforter.
Wakenya hawaeleweki bro, wao ndo chanzo cha migogoro yote baina ya hizi nchi mbili..ni taabu sana kuwa karibu na failed state..Kusema kweli hakuna sababu ya Tanzania na Kenya kuwa na misuguano. Hizi nchi zinategemeana mno na zikiwa na uhusiano mwema ni faida kwa mataifa yote mawili.
Umesahau? Mwendazake aliigawa kwa ATC na hadi rangi ilibadilishwa so kwasasa ni mali ya ATCLYes naona sasa hivi ndege yake ipo usawa wa Arusha ikelekea Nairobi. Hivi kwanini anatumia ndege za ATCL, ile aliyonunua Mramba ipo wapi?
Fanya kazi kijana acha kuwaza vya bure, Magufuri aliwafundisha watu kuchapa kazi,eti kuiba congo,haende kuiba congo wakati dhahabu na alumasi zimejaa shinyanga, ndio maana kafanya mambo makubwa sasahivi analinganishwa na Nyerere aliyekaa madarakani miaka 24, wakati yeye kakaa miaka 5 tu.Umeona eee lile jamaa lilikuwa shamba sanaa.kagane na mseveni wanaiba congo kwa maslahi ya nchi zao sisi tunajidungia ndani kisukuma tunawaibia ndugu zetu tena kwa mitutu ya bunduki ulikuwa ujinga.
Nchi hipi ilialibika? Kinyatta kaja chato mara Mbili na kupewa tausi,sasa mlitaka kitu kipi,tafuta takwimu za WB na IFM Magufuri kaipaisha Tanzania kiuchumi,kimiundombinu kuliko Rais yeyeto hapa Tanzania kwa mda mfupi,tena kipindi kigumu cha corona,pasipo misaada.Wewe unabwabwaja tu kwasababu ya chuki tu Kwa Magufuri,kama ingelikuwa kusafiri kwa Marais Tanzania ingelizidi Hon kong kipindi cha Kikwete maana akuna nchi ambayo akufika na Tanzania ilikuwa ktka 3 bora duniani kwa misaada lakini bado taifa alikusonga.Maendeleo hayaji kwa kuzurura kwa jirani zako yanakuja kwa kuchapa kazi kwa bidii na maharifa.Pole mataga.
Bado unaomboleza eti?
Mekoo alikuwa dikteta mbumbumbu wa uongozi. Alikuwa ametuharibia sana nchi. Wacha mama arekebishe.