Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Huyo Mpango wanafanana na Mwigulu wanaonekana enzi hizo walikuwa washamba sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninachokumbuka ni kuwa Rais aliyepita aliitoa iliyokuwa ndege ya rais na kuipeleka atcl ikafanye biashara na kuiteua moja ya ndege mpya kutumiwa na Raisi bila kutoa nembo ya atcl. Kwa hiyo moja ya ndege hizo mpya kati ya chapa Dodoma au hapa kazi tu ndio inatumika rasmi na Raisi. Niko tayari kusahihishwa.Hata Mimi nashangaa Sana Rais kutumia ndege ya air tanzania YANI serikali imeshindwa kabisa kununua ndege ya Rais kweli?hizo ndege zimenunuliwa ili zifanyebiashara sasa Rais anapozitumia tena KWA safari ZAKE haipendezi hata kiusalama wake sio poa wamnunulie ndege mh Rais iwena Rangi ya pendela ya taifa letu
Look at you. You have no idea hata mifumo ya nchi inafanyaje kazi?Mbona wakati wa kuomba kura hao viongozi taipu yako hawawaachii the so-called mawaziri & makatibu!??? Are you even thinking, ama!???
Hakuna kitu Kama hicho..Ninachokumbuka ni kuwa Raisi aliyepita aliitoa iliyokuwa ndege ya rais na kuipeleka atcl ikafanye biashara na kuiteua moja ya ndege mpya kutumiwa na Raisi bila kutoa nembo ya atcl. Kwa hiyo moja ya ndege hizo mpya kati ya chapa Dodoma au hapa kazi tu ndio inatumika rasmi na Raisi. Niko tayari kusahihishwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo kapokewa na waziri wa mambo ya nje wa Kenya,safari zikizidi atakuja kupokelewa na mkuu wa mkoa au mkuu wa Nairobi Library.
Watu mnagubu sana, Mapokezi na heshima aliyoyapata mama Samia ni makubwa na yenye hadhi ya kumpokea Rais.Leo kapokewa na waziri wa mambo ya nje wa Kenya,safari zikizidi atakuja kupokelewa na mkuu wa mkoa au mkuu wa Nairobi Library.
Bora mala kumi ya Meko aliyekuwa anatumia barabara, maana kila alipokuwa akipita sehemu anajua matatizo ya nchi/wananchi, barabara zilitengenezwa kwasababu walijua wakati wowote Rais atapita.Huyo meko, licha ya kujifanya hasafiri nje ya nchi lakini msafara wake wa ndani unaweza kuwa ulikuwa na gharama karibu sawa tu na hizo, wewe magari zaidi ya 50, helcopter juu, mawaziri karibia wote, yanatoka dodoma hadi chato!!alikuwa anawapumbaza tu watu wajinga, eleweni tu hii ni awamu nyingine, anawatia ujinga tu eti yeye na meko ni kitu kimoja!!ona wakenya wanavyomsubiria kwa hamu, na yote ni kutokana na madhara ya meko, aliyosababisha.
Habari ndugu, kwakuwa umeruhusu kusahihishwa wacha nikusahihishe.Ninachokumbuka ni kuwa Raisi aliyepita aliitoa iliyokuwa ndege ya rais na kuipeleka atcl ikafanye biashara na kuiteua moja ya ndege mpya kutumiwa na Raisi bila kutoa nembo ya atcl. Kwa hiyo moja ya ndege hizo mpya kati ya chapa Dodoma au hapa kazi tu ndio inatumika rasmi na Raisi. Niko tayari kusahihishwa.
Vipi yule bwana wa Mia Kenda na Hamsini na Tisa hakuomba hata kwenda kuaga aga huko?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini leo tarehe 04 Mei, 2021 kuelekea nchini Kenya ambako anafanya Ziara Rasmi ya siku 2 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta...
Umepatwa na kizungu zunguSogea Chato ukapalilie kaburi, acha kulialia.. Rais lazima azunguke kulitafutia taifa maendeleo.. sio kujifungia ndani kishamba na kukwapua hela za mifuko ya jamii na hela za wafanyabiashara wakubwa.
I hope si kweli, maana economically sijui imekaaje.uondoe Airbus kwenye biashara ya abiria ili itumike katika safari za raisi ambae msafara wake hauzidi watu 60.Ninachokumbuka ni kuwa Raisi aliyepita aliitoa iliyokuwa ndege ya rais na kuipeleka atcl ikafanye biashara na kuiteua moja ya ndege mpya kutumiwa na Raisi bila kutoa nembo ya atcl. Kwa hiyo moja ya ndege hizo mpya kati ya chapa Dodoma au hapa kazi tu ndio inatumika rasmi na Raisi. Niko tayari kusahihishwa.
Hivyo ndivyo ninavyokumbuka na zinaendelea kutumika hadi sasa ingawa haiondoi uhalali wa mawazo yako kuwa sio matumizi sahihi kibiashara. Kingine kumbuka kuwa mwaka 2018 ndege hizo zilihamishiwa ofisi ya Raisi - Ikulu. Kwa hiyo ziko chini ya IkuluI hope si kweli, maana economically sijui imekaaje.uondoe Airbus kwenye biashara ya abiria ili itumike katika safari za raisi ambae msafara wake hauzidi watu 60.
Vasco da gama 2.0New Vasco da gama in town
Naona wakenya wamefurahi sana,lakini wakenya ndo chanzo cha migogoro baina ya hizi nchi mbili
Picha ya kaburi au?!Weka picha tuone