Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
We ni mkenya??????????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni mkenya??????????
Kiboko yenu alikuwa Magu (R.I.P)Sisi Wakenya tumefurahia sana ujio wa mama Samia,welcome kenya
Yaani wakenya huwa wanatuona kama mtoto ambao kwao ni matajiri ila akili zake kama za mende hivyo unamlia timing akuuzie raba kali aliyopewa zawadi na baba yake kwa hela ya kununua muwa!Katika majirani ninaowaona miyeyusho kenya wamo
Hata Mimi nashangaa Sana Rais kutumia ndege ya air tanzania YANI serikali imeshindwa kabisa kununua ndege ya Rais kweli?hizo ndege zimenunuliwa ili zifanyebiashara sasa Rais anapozitumia tena KWA safari ZAKE haipendezi hata kiusalama wake sio poa wamnunulie ndege mh Rais iwena Rangi ya pendela ya taifa letuHivi "air Tanzania ndio ndege ya Rais"
[emoji23][emoji23][emoji23] kila rais ana style yake ya utawala.
utawala wa JPM sio blue print ya utawala wa tz.
kisa ni rais asisafiri?
mbona viongozi kibao chini ya rais wanasafir tena kwa vibali vya serikal almost every month?
Huyu SSH ni hasara kwa Taifa, hii miaka minne iishe tu tupate Rais na sio national comforter.Kusafiri ama kuwa na staili yake siyo hoja. Hapa tunazungumzia harakati za kupukuchulia angani na vibwekani rasilimali za Watanzania. Asije huyu Bi Mkubwa akatudanganya kuwa yeye ni JPM & JPM ni yeye. COMPLETE, TOTAL, ABSOLUTE LIE!!! Namna pekee nayoweza kumfananisha na JPM ni kwa vile anakalia, as it were, kiti alichokuwa akikalia Bulldozer. Mengine YOOOTE ni utusitusi na mafingofingo ya pwani na pangani!!!
Why haendi kutembelea SGR, JNHPP, Miundombinu ya barabara, shule, hospitals, maji and so forth!??? Sababu ni kwamba hivyo si vipaumbele vyake!!! Kama alivyokuwa yuleeee Mr Mamboooo wa awamu ya 4, huyu Bi Mkubwa naye pia lengo ni KUJISAKIA some international mileage & fame. Nothing more, nothing less!!! So pathetic & shame!!! Ingekuwa si janga la korona, nasema kweli si uongo, ningehamia hata hukoo Planet Mars ^kwenye uwanja mpya wa mapambano^!!!
Inaezekana magu aliipiga bei kimya kimyaYes naona sasa hivi ndege yake ipo usawa wa Arusha ikelekea Nairobi. Hivi kwanini anatumia ndege za ATCL, ile aliyonunua Mramba ipo wapi?
Sogea Chato ukapalilie kaburi, acha kulialia.. Rais lazima azunguke kulitafutia taifa maendeleo.. sio kujifungia ndani kishamba na kukwapua hela za mifuko ya jamii na hela za wafanyabiashara wakubwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini leo tarehe 04 Mei, 2021 kuelekea nchini Kenya ambako anafanya Ziara Rasmi ya siku 2 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta.
#KaziIendelee
======
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amewasili nchini Kenya na kupokelewa uwanja wa ndege na waziri wa mambo ya nje ya Kenya, Balozi Amina Mohammed. Rais Samia amefika eneo la VIP uwanjani hapo na punde anaenda Ikulu ya Kenya na leo atafanya mazungumzo na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta.
maza atake care wasije wakam covid-19
Ile ya Mkapa ,Jiwe aliikabidhi Air Tanzania!Hivi "air Tanzania ndio ndege ya Rais"
Ndugu yangu inaelekea uko nyuma na masuala haya...Serikali inapotumia ndege za ATC ni lazima Serikali ilipe..Hata Mimi nashangaa Sana Rais kutumia ndege ya air tanzania YANI serikali imeshindwa kabisa kununua ndege ya Rais kweli?hizo ndege zimenunuliwa ili zifanyebiashara sasa Rais anapozitumia tena KWA safari ZAKE haipendezi hata kiusalama wake sio poa wamnunulie ndege mh Rais iwena Rangi ya pendela ya taifa letu
in order to pass purgatory you hav to pass seven gates.dante alighier.asee.mdau upo vizuriIt's true,mwacheni mwendazake apumzike,na tumwombee apite purgatory kwa amani,maana hapo ndipo pagumu kweli kupita.
*hufanikiwi kupita hapa kwa maombi ya walio hai,hapo unapita kwa wema na uzuri ulioufanya duniani.
yeye na JPM lazima wawe tofauti. kila mtu ana uniqueness kwenye utekelezaji majukumu.Kusafiri ama kuwa na staili yake siyo hoja. Hapa tunazungumzia harakati za kupukuchulia angani na vibwekani rasilimali za Watanzania. Asije huyu Bi Mkubwa akatudanganya kuwa yeye ni JPM & JPM ni yeye. COMPLETE, TOTAL, ABSOLUTE LIE!!! Namna pekee nayoweza kumfananisha na JPM ni kwa vile anakalia, as it were, kiti alichokuwa akikalia Bulldozer. Mengine YOOOTE ni utusitusi na mafingofingo ya pwani na pangani!!!
Why haendi kutembelea SGR, JNHPP, Miundombinu ya barabara, shule, hospitals, maji and so forth!??? Sababu ni kwamba hivyo si vipaumbele vyake!!! Kama alivyokuwa yuleeee Mr Mamboooo wa awamu ya 4, huyu Bi Mkubwa naye pia lengo ni KUJISAKIA some international mileage & fame. Nothing more, nothing less!!! So pathetic & shame!!! Ingekuwa si janga la korona, nasema kweli si uongo, ningehamia hata hukoo Planet Mars ^kwenye uwanja mpya wa mapambano^!!!
hiyo miaka minne ikiisha atachahuliwa tena mi 5. na hamna lolote la kufanya kizazi hiki cha waoga na wanafki.Huyu SSH ni hasara kwa Taifa, hii miaka minne iishe tu tupate Rais na sio national comforter.
yeye na JPM lazima wawe tofauti. kila mtu ana uniqueness kwenye utekelezaji majukumu.
anapukuchulia angani rasilimal za tanzania .. hao waliopita walikiwa hawafanyi hivyo?
mbona ataembelei miradi? Kila kitu afanye yeye? Mawaziri wako wapi? makatibu wakuu wako wapi? nn kazi yao?
Aloo watu waliambiwa wale nyasi,akaja kula nyasi yeyeYes naona sasa hivi ndege yake ipo usawa wa Arusha ikelekea Nairobi. Hivi kwanini anatumia ndege za ATCL, ile aliyonunua Mramba ipo wapi?
in order to pass purgatory you hav to pass seven gates.dante alighier.asee.mdau upo vizuri