Montserrat
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 10,938
- 14,745
?????????Katika majirani ninaowaona miyeyusho kenya wamo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
?????????Katika majirani ninaowaona miyeyusho kenya wamo
Hivi "air Tanzania ndio ndege ya Rais"
Duh...hiyo siyo ya Rais ni ya serikali kwa maana ATC ni shirika ambalo ni Mali ya serikali...halafu serikali ya TZ ndiyo ilinunua ndege hizo na kukabidhi wakala wa Ndege Tanzania which is a government department/agency...nayo ikaipa ATC kwa makubaliano maalum...Hivi "air Tanzania ndio ndege ya Rais"
hao ni chadema tu yaani kila lifanywalo ccm ni baya ila wao hata mdude aliyekuwa anatukana matusi mkubwa wanaona hana kosa anaonewa hao ndiyo chadema bwanaKweli binadamu ni kiumbe cha ajabu sana. Haeleweki, ni mzandiki!
Mh. Kikwete aliitwa mtembezi asiyetulia nyumbani
Mh. JPM asiye safiri nje ya nchi kwenda kuhemea
Mh. Samia ameanza kusafiri, naye mmeanza kumsema!
Ile aliyonunua Mramba ni chombo cha masafa marefu, kinataka kuikata bahari kadhaa.Yes naona sasa hivi ndege yake ipo usawa wa Arusha ikelekea Nairobi. Hivi kwanini anatumia ndege za ATCL, ile aliyonunua Mramba ipo wapi?
South africa na Zimbabwe na Namibia alikwenda kwa basi,!kama alikuwa anaogopa kupanda ndege sababu ya moyo?Wivu tu, Mwendazake alikuwa na Tatizo la Moyo sio kwamba alikuwa hapendi kusafiri.
Fikiria ule msafara wake wa magari zaidi mia moja na zote zina watu, zile gharama zake si ni zaidi ya ya Safari ya Ndege kwenda Kenya?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hehe, macho mabovu hayo, wamesimama tu, sioni shangwe kwa yeyote hapo. Hivi hujui tunakazi za kufanya?Naona Wakenya wamejipanga barabarani kumshangilia Samia
Mkuu hakuna cha Pagatory! Njia ni mbili 2,Uzimani au Upotevuni,(Mathayo7:13-14) na (Luka 16:19-22,22-25).Kama mtu hakutubu dhambi zake alipokuwa hai,moja kwa moja ni Upotevuni,(Waebrania9:27).It's true,mwacheni mwendazake apumzike,na tumwombee apite purgatory kwa amani,maana hapo ndipo pagumu kweli kupita.
*hufanikiwi kupita hapa kwa maombi ya walio hai,hapo unapita kwa wema na uzuri ulioufanya duniani.
😂 😂 😂Ile aliyonunua Mramba ni chombo cha masafa marefu, kinataka kuikata bahari kadhaa.
Ukisema aitumie ile ndege kwenda nayo Kenya ujue itapitiliza na kwenda kutoa Cairo huko Misri. Ile ndege Huwezi itumia kwa safari za East Africa
Nmeona kabisa bhana! Mnashangilia.Hehe, macho mabovu hayo, wamesimama tu, sioni shangwe kwa yeyote hapo. Hivi hujui tunakazi za kufanya?
Haya bhana, wacha washangilie, wamekosa kazi! 🤣Nmeona kabisa bhana! Mnashangilia.
Subiri Nyalandu ateuliwe waziri, anga itakwenda mwendo wa fangfang! Wataanza kupishana kusafirisha maliasili zetu!Naona sasa ni mwendo wa kupukuchulia angani rasilimali za nchi yetu; sasa zile harakati za kupishana angani zinanyemelea baada ya kuzinduliwa rasmi pale kwa M7. Bi Mkubwa hasomeki, kurasa za hotuba na ahadi zake tifutifu & futefute zimefutika.
#Mtanikumbuka kwa mema, na wala si kwa mabaya.
Mkuu ile ndege ni yamasafa marefu, usihofu Siku Madame Rais akiwa na safari ya USA ataitumiaKwanza bado najiuliza sababu ya kutumia dreamliner ya abilia 22, kwa safari ya 2hrs sijajua ni nini wakati tuna ile ndege ya rais nk...
[emoji23][emoji23][emoji23] kila rais ana style yake ya utawala.Naona sasa ni mwendo wa kupukuchulia angani rasilimali za nchi yetu; sasa zile harakati za kupishana angani zinanyemelea baada ya kuzinduliwa rasmi pale kwa M7. Bi Mkubwa hasomeki, kurasa za hotuba na ahadi zake tifutifu & futefute zimefutika.
#Mtanikumbuka kwa mema, na wala si kwa mabaya.
Kukwapua Mifuko ya Jamii.Sogea Chato ukapalilie kaburi, acha kulialia.. Rais lazima azunguke kulitafutia taifa maendeleo.. sio kujifungia ndani kishamba na kukwapua hela za mifuko ya jamii na hela za wafanyabiashara wakubwa.