Rais Samia Suluhu awasili Kenya, aweka kidole Mkataba wa Bomba la gesi Dar-Mombasa

Rais Samia Suluhu awasili Kenya, aweka kidole Mkataba wa Bomba la gesi Dar-Mombasa

Naona sasa ni mwendo wa kupukuchulia angani rasilimali za nchi yetu; sasa zile harakati za kupishana angani zinanyemelea baada ya kuzinduliwa rasmi pale kwa M7. Bi Mkubwa hasomeki, kurasa za hotuba na ahadi zake tifutifu & futefute zimefutika.

#Mtanikumbuka kwa mema, na wala si kwa mabaya.
Hukuwepo kwenye kikao cha kumpigia kura 100%? Huyu ni sawa na JPM. Hata JPM alipata 100%. Mapacha.
 
Yes naona sasa hivi ndege yake ipo usawa wa Arusha ikelekea Nairobi. Hivi kwanini anatumia ndege za ATCL, ile aliyonunua Mramba ipo wapi?
MWAKA GANI VILEE ILINUNULIWA?
 
Naona sasa ni mwendo wa kupukuchulia angani rasilimali za nchi yetu; sasa zile harakati za kupishana angani zinanyemelea baada ya kuzinduliwa rasmi pale kwa M7. Bi Mkubwa hasomeki, kurasa za hotuba na ahadi zake tifutifu & futefute zimefutika.

#Mtanikumbuka kwa mema, na wala si kwa mabaya.
Kweli binadamu ni kiumbe cha ajabu sana. Haeleweki, ni mzandiki!

Mh. Kikwete aliitwa mtembezi asiyetulia nyumbani
Mh. JPM asiye safiri nje ya nchi kwenda kuhemea
Mh. Samia ameanza kusafiri, naye mmeanza kumsema!
 
Wivu tu, Mwendazake alikuwa na Tatizo la Moyo sio kwamba alikuwa hapendi kusafiri.

Fikiria ule msafara wake wa magari zaidi mia moja na zote zina watu, zile gharama zake si ni zaidi ya ya Safari ya Ndege kwenda Kenya?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Umisahau na tatizo kuu lilomzuia MEKO kusafiri ni NGELI ni shida sana kwake.
 
Hivi rais akisafiri nje Kama Leo anaenda na wale wajamaa wanaovaa kombati na mabunduki
 
hahaaa
Sogea Chato ukapalilie kaburi, acha kulialia.. Rais lazima azunguke kulitafutia taifa maendeleo.. sio kujifungia ndani kishamba na kukwapua hela za mifuko ya jamii na hela za wafanyabiashara wakubwa.
 
Proudly to our lovely president Madam Samia, wish her and the delegate all the best.
 
Naona sasa ni mwendo wa kupukuchulia angani rasilimali za nchi yetu; sasa zile harakati za kupishana angani zinanyemelea baada ya kuzinduliwa rasmi pale kwa M7. Bi Mkubwa hasomeki, kurasa za hotuba na ahadi zake tifutifu & futefute zimefutika.

#Mtanikumbuka kwa mema, na wala si kwa mabaya.
Sukuma gang mna shida kwenye bongo zenu wallah!
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini leo tarehe 04 Mei, 2021 kuelekea nchini Kenya ambako anafanya Ziara Rasmi ya siku 2 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta...
Kenya naona nao wameamua kupiga Tanzania. Wameamua kuachana na mambo ya Mask.
 
Jet Gulf Stream 50
Ndege Maalum Ya Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ambayo Ilinunuliwa Na Hayati Mkapa Ipo

Hiyo Ndege Kubwa Ni Tamu Sana Kama Ndoa Vile.

Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
Najua Mtanikumbuka Si Kwa Mabaya Lakini Kwa Mazuri 😀😂😁😁😂😃😃😃😁😀😀😂
JPM

Madame Samia Suluhu Hassan
Angekuwa Hajafunga Leo 🍷🍸🍹 Ila Leo Chungu 21
 
Mama anachofanya ni kutumia hilo lindege ili lisije kufia bila matumizi.. Yaaani mnaoneshewa ujinga wa kununu mindege bila mpango
 
Back
Top Bottom