Kusafiri ama kuwa na staili yake siyo hoja. Hapa tunazungumzia harakati za kupukuchulia angani na vibwekani rasilimali za Watanzania. Asije huyu Bi Mkubwa akatudanganya kuwa yeye ni JPM & JPM ni yeye. COMPLETE, TOTAL, ABSOLUTE LIE!!! Namna pekee nayoweza kumfananisha na JPM ni kwa vile anakalia, as it were, kiti alichokuwa akikalia Bulldozer. Mengine YOOOTE ni utusitusi na mafingofingo ya pwani na pangani!!!
Why haendi kutembelea SGR, JNHPP, Miundombinu ya barabara, shule, hospitals, maji and so forth!??? Sababu ni kwamba hivyo si vipaumbele vyake!!! Kama alivyokuwa yuleeee Mr Mamboooo wa awamu ya 4, huyu Bi Mkubwa naye pia lengo ni KUJISAKIA some international mileage & fame. Nothing more, nothing less!!! So pathetic & shame!!! Ingekuwa si janga la korona, nasema kweli si uongo, ningehamia hata hukoo Planet Mars ^kwenye uwanja mpya wa mapambano^!!!