Rais Samia Suluhu awasili Kenya, aweka kidole Mkataba wa Bomba la gesi Dar-Mombasa

Their Excellencies Samia na Liberata (the ladies) wanawakilisha taifa vizuri sana! Kongole kwao.
 
... their Excellencies Samia na Liberata (the ladies) wanawakilisha taifa vizuri sana! Kongole kwao.
Huu unaitwa ni 'mhemko au mahaba'.

Bado sana kuwapa sifa..tunawasubiri angalao kwa siku mia moja mbele.
 

Mkuu hata tukiwa watulivu, siyo wote tutaelewa kwa namna sawa.

Ndiyo maana kunakuwa na uchambuzi wa hotuba.
 

Uhuru Mhuni wa town yule....
 
Uzuri wa Magufuri alikuwa apendi unafiki,Wewe unawajua vizuri hao Wakenya? tafuta history toka enzi za Nyerere,mala ya kwanza ndio walivunja jumuia ya africa Mashariki, Ukiona Mkenya anakujifanya anakupenda jiulize malambimbili,kuna kitu anakitafuta, Magufuri alikuwa mtu wa kazi,yeye alikuwa sio mtu wa maneno matamu, ndio maana wakati mwingine alipishana na wenzake kidogo.
 
We ni mkenya?
Mimi nimestaajabu hawa viumbe wapo JF wanajipenyeza kwenye maisha ya wa Tanzania kwa gharama yeyote!
Kwenye mitandao ya kijamii wamejazana kama kuku, kila mahali wapo kutufuatilia na maisha yetu!!!... Wana tapatapa na maisha yetu!
 
Ile aliyonunua Mramba ni chombo cha masafa marefu, kinataka kuikata bahari kadhaa.
Ukisema aitumie ile ndege kwenda nayo Kenya ujue itapitiliza na kwenda kutoa Cairo huko Misri. Ile ndege Huwezi itumia kwa safari za East Africa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kiboko yenu alikuwa Magu (R.I.P)
Mkizingua alikwa anawazingua[emoji28]

Nyie ni majirani wa kuangalia kwa macho matatu.
Yaani HAWAFAI hata kuwa majirani, eti ndugu[emoji849]

Tuwatimue tu! JF na mitandao yote ya kijamii....
 
Mgaa gaa na upwa hali wali mkavu na kisawe chake ni mwenda Bure sio sawa na mkaa Bure.

Hizi methali wahenga hawajuwahi kukosea
 
Jamani hizi picha nimezipenda, Tumsifu mpiga picha!

Nimejifunza kitu kimoja, ni muhimu kubadili maRais kutokana na gender wakati mwingine - Inapendeza.

Lakini tukiacha hilo, kumbe Kenya wamewekeza TZ- Ajira 51000 za watanzania na TZ imewekeza Kenya kiasi cha ajira 2640 tu kwa wakenya. Kweli wametupiku. Takwimu ni muhimu na hazidanganyi.

Kwa maneno mengine kenya wameajiri sawa na sehemu 1/10 au 10% ya ajira zote za serikali zipatazo kama 500000. Kuna umuhimu wa kupanua na kuheshimu uhusiana wa Kenya na TZ.

Hongera Kenya kwa kupunguza uhaba wa ajira.
 
kuna sehemu nimemtaja magufuli kwenye post yangu? kuhusu kutandaza hizo barabara ni kweli magufuli alitandaza kuanzia kipindi cha hayati mkapa hadi JK akiwa waziri wa miundombinu, au nitajie barabara moja tu aliyojenga magufuli ya kuunganisha mkoa na mkoa au za kitaifa akiwa ikulu.
halafu nani kakuambia nina chuki na magufuli? utakuwa kichaa wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…