Rais Samia Suluhu chanzo cha ufaulu bora

Watu Wenye mawazo ya ovyo namna hii sijui kwanini wanazidi kuongezeka kila siku!
 
Tafuta Exposure acha uchawa, Kenya mfano kwenye mtala wao mpya wamefuta kabisa mitihani ya Taifa yaani hawana kitu kinaitwa National Exam, bado unaishi enzi za ujima kuzani kufaulu ndo kipimo cha elimu bora, Sijui huu ushamba utatutoka lini
 
Safi sana,yaani wanaongeza ukubwa wa magoli ili wafunge magoli mengi kiurahisi.
 
Kiukweli Samia anastahili pongezi sana
 
Chawa mwenye mabawa kama kunguni
 
Dah hivi hizi habar watu kweli mnamaanisha au mnatania [emoji3][emoji3]
 
Nchi hii kuna wakati inakatisha tamaa sana. Hivi sisi kweli tutakaa tuendelee kama watu wetu uwezo wao wa kujikwamua kimaisha ni kuwa chawa wa wanasiasa haijalishi hata kama utadharaulika na kujishushia heshima mbele ya jamii namna gani?

Kwa nini sisi tunawaza tu sisi na matumbo yetu na siyo maslahi mapana ya taifa. Wenzetu akina Carl Peters walijitoa mhanga wakaondoka kwao wakaja huku Afrika bila kujua kama watarudi wakiwa hai ama la ili kupigania jamii zao. Wakawakuta akina Chifu Mangungo wetu wakawasainisha mikataba feki iliyosaidia kupanua himaya za madola yao nyumbani.

Sisi tunapambana kujipendekeza ili tuteuliwe. Na tukiteuliwa tunaiba haraka haraka ili tutajirike. Hakuna maono. Hakuna dhana ya kujenga legacy. Halafu tukitupiwa maganda ya ndizi tunalalamika.

Mleta mada umeniudhi sana! Bahati yako ni mwanamke vinginevyo ungechezea vitasa vya kutosha tu [emoji51][emoji51][emoji51][emoji706][emoji706]
 
Kuna wakati unajisemea sitatukana tena jf ghafla unakuta na uzi huu wa chawa kama huyu unajikuta unavunja ahadi ya utakatifu ukatukana tena
Tulia tu mkuu,uchawa ndio ajira kuu kwa sasa.Kuna mwanajf mmoja alikuwaga na kibwagizo chake akisema ''miafrika ndivyo tulivyo''
 
Kwa form six alama za ufaulu ziko juu,kilichofanyika tumepigwa.Kuna wanafunzi nawafahamu hata mtihani wa darasa la saba wasingeweza kufaulu,nimeshangaa eti wamefaulu.Tuendako ni pagumu Sana.
 
Tafuta Exposure acha uchawa, Kenya mfano kwenye mtala wao mpya wamefuta kabisa mitihani ya Taifa yaani hawana kitu kinaitwa National Exam, bado unaishi enzi za ujima kuzani kufaulu ndo kipimo cha elimu bora, Sijui huu ushamba utatutoka lini
Hawa ni machawa wa ccm!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Waambie ukweli hawa washenzi!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Watu Wenye mawazo ya ovyo namna hii sijui kwanini wanazidi kuongezeka kila siku!
Hii tabia ya kusifu hata ujinga inaongezeka sana
Hadi wasomi wameiga
Mwendazake ndiyo aliendekeza huu upumbavu sasa unaenda kuota mizizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…