Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta Exposure acha uchawa, Kenya mfano kwenye mtala wao mpya wamefuta kabisa mitihani ya Taifa yaani hawana kitu kinaitwa National Exam, bado unaishi enzi za ujima kuzani kufaulu ndo kipimo cha elimu bora, Sijui huu ushamba utatutoka liniMnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Leo Baraza la Mitihani Taifa limetangaza matokeo ya kidato cha 6 na kwenye orodha ya shule 10 bora kuna shule takribani 3 za serikali zimeingia kwenye orodha hii.
Wote sisi ni mashahidi wa namna ambavyo Rais Samia Suluhu alivyoipa sekta ya elimu kipaumbele kwa kuhakikisha wanafunzi wanakuwa na mazingira bora ya kujisomea na pia kujenga shule karibu ili kupunguza umbali wakwenda shule.
Kupitia fedha za Uviko-19, Rais Samia alijenga vyumba vya madarasa, bweni, maabara na maktaba za kujisomea ili kuhakikisha wanafunzi hawa wanapata elimu bora na sio bora elimu.
Hakuishia hapo tu, alihakikisha pia kuna vifaa vyote vya kujisomea kama vitabu na pia walimu kwenye shule hizo na ndio maana ufaulu umeongezeka sababu wanafunzi hawa walikua hawapati tena tabu ya kuitafuta elimu.
Nani kama MAMA SAMIA SULUHU HASSAN? NANI KAMA MAMA YETU? HAKIKA TANZANIA TUPO SALAMA NA RAIS SAMIA SULUHU. KAZI IENDELEE
Safi sana,yaani wanaongeza ukubwa wa magoli ili wafunge magoli mengi kiurahisi.Kuwa siriasi basi hata kama ni uchawa!pesa za COVID za jana tu,leo zilete matokeo makubwa!!!??
Hii ni Siasa tu,watu wanacheza na namba kumfurahisha mkubwa na kulinda ajira zao.Kipindi Cha Kikwete,wanafunzi walifeli balaa,ma genius wa ccm wakaja na "big result now"matokeo makubwa sasa,hiyo agency ikiongozwa na profesa mmoja wa majararani.akaona dawa hapa ni kushusha alama za ufaulu Ili na wale vilaza wafaulu,wakafaulu!!!?
Kwahiyo kwa mabinti Hawa Tena kutoka shule za serikali kufaulu,ni mchezo tu,Siasa za kisenge,wanajitekenya na wanacheka wenyewe
Hahaha. Bro unatia huruma sana.Nani kama MAMA SAMIA SULUHU HASSAN? NANI KAMA MAMA YETU
Kiukweli Samia anastahili pongezi sanaMnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Leo Baraza la Mitihani Taifa limetangaza matokeo ya kidato cha 6 na kwenye orodha ya shule 10 bora kuna shule takribani 3 za serikali zimeingia kwenye orodha hii.
Wote sisi ni mashahidi wa namna ambavyo Rais Samia Suluhu alivyoipa sekta ya elimu kipaumbele kwa kuhakikisha wanafunzi wanakuwa na mazingira bora ya kujisomea na pia kujenga shule karibu ili kupunguza umbali wakwenda shule.
Kupitia fedha za Uviko-19, Rais Samia alijenga vyumba vya madarasa, bweni, maabara na maktaba za kujisomea ili kuhakikisha wanafunzi hawa wanapata elimu bora na sio bora elimu.
Hakuishia hapo tu, alihakikisha pia kuna vifaa vyote vya kujisomea kama vitabu na pia walimu kwenye shule hizo na ndio maana ufaulu umeongezeka sababu wanafunzi hawa walikua hawapati tena tabu ya kuitafuta elimu.
Nani kama MAMA SAMIA SULUHU HASSAN? NANI KAMA MAMA YETU? HAKIKA TANZANIA TUPO SALAMA NA RAIS SAMIA SULUHU. KAZI IENDELEE
Madarasa yamejengwa mwaka jana, form 6 wamefanya mitihani mwaka huuMadarasa yamejengwa lini na hao form six walianza mpaka kupiga Pepa mwaka huu mwezi wa nne sijui tano.
Tulia tu mkuu,uchawa ndio ajira kuu kwa sasa.Kuna mwanajf mmoja alikuwaga na kibwagizo chake akisema ''miafrika ndivyo tulivyo''Kuna wakati unajisemea sitatukana tena jf ghafla unakuta na uzi huu wa chawa kama huyu unajikuta unavunja ahadi ya utakatifu ukatukana tena
Kwa form six alama za ufaulu ziko juu,kilichofanyika tumepigwa.Kuna wanafunzi nawafahamu hata mtihani wa darasa la saba wasingeweza kufaulu,nimeshangaa eti wamefaulu.Tuendako ni pagumu Sana.Kuwa siriasi basi hata kama ni uchawa!pesa za COVID za jana tu,leo zilete matokeo makubwa!!!??
Hii ni Siasa tu,watu wanacheza na namba kumfurahisha mkubwa na kulinda ajira zao.Kipindi Cha Kikwete,wanafunzi walifeli balaa,ma genius wa ccm wakaja na "big result now"matokeo makubwa sasa,hiyo agency ikiongozwa na profesa mmoja wa majararani.akaona dawa hapa ni kushusha alama za ufaulu Ili na wale vilaza wafaulu,wakafaulu!!!?
Kwahiyo kwa mabinti Hawa Tena kutoka shule za serikali kufaulu,ni mchezo tu,Siasa za kisenge,wanajitekenya na wanacheka wenyewe
Umesema kweli Sana!Nchi za wenzetu zina wanasiasa.
Tanzania Ina Wapumbavu wanaojifanya wanasiasa.
Mwambie ukweli huyo pimbi!Acha uchawa, hawa waliofaulu msingi wao hauwezi kuwa Samia.
Mwaka mmoja huwezi kuleta ufaulu kwani ufaulu ni mchakato mrefu ewe chawa dume
Hawa ni machawa wa ccm!Tafuta Exposure acha uchawa, Kenya mfano kwenye mtala wao mpya wamefuta kabisa mitihani ya Taifa yaani hawana kitu kinaitwa National Exam, bado unaishi enzi za ujima kuzani kufaulu ndo kipimo cha elimu bora, Sijui huu ushamba utatutoka lini
Aisee! Unawapiga kwa kitu kizito!Chawa mwenye mabawa kama kunguni
Waambie ukweli hawa washenzi!Nchi hii kuna wakati inakatisha tamaa sana. Hivi sisi kweli tutakaa tuendelee kama watu wetu uwezo wao wa kujikwamua kimaisha ni kuwa chawa wa wanasiasa haijalishi hata kama utadharaulika na kujishushia heshima mbele ya jamii namna gani?
Kwa nini sisi tunawaza tu sisi na matumbo yetu na siyo maslahi mapana ya taifa. Wenzetu akina Carl Peters walijitoa mhanga wakaondoka kwao wakaja huku Afrika bila kujua kama watarudi wakiwa hai ama la ili kupigania jamii zao. Wakawakuta akina Chifu Mangungo wetu wakawasainisha mikataba feki iliyosaidia kupanua himaya za madola yao nyumbani.
Sisi tunapambana kujipendekeza ili tuteuliwe. Na tukiteuliwa tunaiba haraka haraka ili tutajirike. Hakuna maono. Hakuna dhana ya kujenga legacy. Halafu tukitupiwa maganda ya ndizi tunalalamika.
Mleta mada umeniudhi sana! Bahati yako ni mwanamke vinginevyo ungechezea vitasa vya kutosha tu [emoji51][emoji51][emoji51][emoji706][emoji706]
Tena mijitu ya ovyo kabsaaNchi za wenzetu zina wanasiasa.
Tanzania Ina Wapumbavu wanaojifanya wanasiasa.
Hii tabia ya kusifu hata ujinga inaongezeka sanaWatu Wenye mawazo ya ovyo namna hii sijui kwanini wanazidi kuongezeka kila siku!