Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Utumbo ndio sehemu ya identity ya Fundi. Naheshimu kuwa ukiona mtu amekosea hausiti kusema. Ni tofauti na wenzetu ambao baada ya kunywa kool aid huwaambii kitu kuhusu mtu wao.Basi kumbe ndo maana huwa wana-project hizo desperations zao kwa wengine!
Manake mimi sijawahi hata siku moja kuhusisha uungaji mkono wa kiongozi flani na kutaka uteuzi!
Hata wewe Fundi ukiandikaga pointi hapa JF [siyo ule utumbo wako…hahaa joking] huwa nakupa kudos….si kwamba nataka kitu toka kwako!
Binafsi nafikiri kama watakupa uteuzi watajuta mapema sana maana ukiwa "bored " tu utawageuka just for the heck of it.
Amandla...