Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

Nimpongeze tu balozi Hoyce Temu kwa jitihada zake za kupambana kimaisha.

Nakumbuka kumfahamu alipokuwa kidati cha 6 baadae nikamkuta Stendi ya Kisutu akiwa kondakta wa bus la mkoa

Mara nikamshuhudia akishinda taji la miss Tanzania.

Mara mtangazaji wa vipindi vya luninga.

Leo ni balozi mteule kongole kwake!
 
Wakikamilisha Bandari ya Bagamoyo watakua wamepiga hatua Kubwa sana
 
Sababu aliwekwa na Marehemu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna dhana 2 hapo amemuheshimu sana Mabeyo ( ndio alikataa kupindua meza) huenda wamepushana na msaidizi wake.....ingawa najua mama hapendi kutumbua wale wa imani moja nabyeye ukiona hivyo ujue chungu cha moto umeona hatq Ibuge na yule wa JKT....amewatoa sababu hawaendani na CDF...
 
Kwani usingeweza kutoa pongezi kwenye uzi husika hadi ufungue uzi mwingine Bwashee? 😳
 
Bora mwizi anaekuacha na wewe uibe ule na familia yako kuliko mwizi anaekuziba mdomo usile na kukufunga mikono usiibe na kukuua kabisa!!!
Mwaka 2001 nilimtembelea mama yake Togolani, pale Mtaa wa Samora, Jijini Dar.

Wakati huo Mzee Mavura alikuwa Katibu wa Baraza la Mawaziri.

Mlango wa chumba cha Togolani, ulikuwa na stika yenye maneno "FUTURE PRESIDENT".

Baadaye tulikutana kwenye taasisi ya YUNA Tanzania na baadaye taasisi ya UNA Tanzania.

Baada ya hapo alikuwa Msaidizi wa Rais Kikwete, kwa maana ya mwandishi wa hotuba za Rais Kikwete.

One step toward the great dream!

Hongera zake Togolani Mavura.
 
Page ya huyu jamaa Twetter ndio page yangu Bora kabisa kwa muda wote, Togolan Mvura..

Ukitaka tweets za maisha ya kawaida ambazo wewe unachukulia kawaida lakini zinaujumbe mzito mtembelee huyu Ndugu.
 
Elsie Kanza huyo mbwa aliyehusika kuharibu afya yako kipindi kileee kwa kujidai na cheo chake Asifikiri Mungu kasahau Anyway hongera lakini Mungu hawezi nyamaza atamalizana naye
 
Back
Top Bottom