MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Naam, kwenye siasa za Maziwa Makuu na Utatuzi wa Migogoro nadhani kwasasa yeye ni moja kati ya wataalamu ambao wana uzoefu na uelewa mkubwa hapa nchini. Kibarua kikubwa ambacho anacho kwasasa ni kuhakikisha anatengeneza kizazi kipya cha wataalamu, maana kile cha zamani ndiyo kinaondoka hivyo.Huyu mama Liberatha ni mtu mmoja smart sana. Niliposikia tu amekuwa waziri nikaanza kusoma mahojiano yake huko Google na taasisi za kimataifa. She's very smart upstairs.
Hili la kuwateua vijana wengi kutoka Foreign Affairs limenigusa mno, they all have institutional memory. Naamini kabisa wakiendelea hivi tutafika sehemu nzuri,.....