Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

Duh, hadi Hoyce Temu amekuwa Balozi. Inabidi na mimi niongeze kasi yangu ya kupata connections.
Usilazimishe connection mkuu. Mimi kuna mtoto mmoja wa kigogo alikuwa rafiki yangu, I was treating her well, ila akadhani labda ninajitengenezea mazingira ya connection, nilimchana live nikamwambia mimi sina njaa kali kama unavyonidhania.
 
Teuzi moja ilipita,msaidizi wa Rais kwenye.....wa mtaani kabisa na ametumia nondo zangu kupasua form 4 and 6!
Daaah, nimefurahi sana kwasababu kwenye hii orodha kuna watu wengi walikuwa pale Foreign Affairs kama wamesahaulika yani. Wengi waliopata teuzi wana ufahamu mzuri na masuala ya diplomasia, utawala, biashara na ulinzi. Naona Liberata amekumbuka watu wa wizara yake: Hivi ndivyo inatakiwa iwe.....
 
Kwa hiyo msoga gang wamerudi ndani ya nyumba....nimeona na wazenziberi wametamalaki, sukuma gang tupa kule, acha mchuano uendelee...
 
Back
Top Bottom