Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa njaa amekosa niniπMayala umelaaniwa
Sasa kuna sababu gani kuwateua haraka?Kwani uliambiwa Bashiru Ally anakwenda wapi alipoteuliwa? Ukiteuliwa kuwa balozi utasubiri hata mwaka au zaid kupangiwa kituo cha kwanza
Tena sikukaa kwa raha kakaa kama mkimbizi,ingekuwa huku kwetu angekuwa anaishi kambi ya wakimbizi Kasulu au BulyankuluAsingekuwa na njaa angekaa kwa amsterdam?
Mbona utakonda bure, pambana imeshakuwa!!Jakaya kikwete anaongoza nchi kupitia mlango wa nyuma...
Ndiyo maana mama katoa waliokuwa wasaidizi wa Magu wote aliowarithi. Anataka aweke safu yake na JK.Jakaya kikwete anaongoza nchi kupitia mlango wa nyuma...
Hakika Mkuu, ila hawa mashikolo mageni hawatakuelewaWakikamilisha Bandari ya Bagamoyo watakua wamepiga hatua Kubwa sana. Namuamini sana Kikwete. Ikibidi awe Mkuu wa Nchi kisha tuwe tunachagua wakuu wa serikali. Busara za JK ni za kiwango cha juu sana.
Dokta Slaa naye atakua miongoni mwa mabalozi 23 wanaostaafu nafasi zao ndio hawa 23 waloteuliwa na mheshimiwa raisiYupo Hoisi Temu,Mtangazaji na mjasiriamali.View attachment 1794049View attachment 1794051
Uoni kama huu ndio unaowapasa vijana wote kuwa. Big upSawa, juzi alimteua mtoto wa Nyerere kuwa RC na mwezi uliopita alimteua mtoto wa dada yake Magufuli kuwa Katibu mkuu wa Wizara ya mambo ya biashara
Eti eeeh,π€£π€£ upinzani wa TZ daah ππππ Team Jiwe hoi !
Itakuwa mkuu!!Dokta Slaa naye atakua miongoni mwa mabalozi 23 wanaostaafu nafasi zao ndio hawa 23 waloteuliwa na mheshimiwa raisi