Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

Mkuu watu walitoa mapovu Bashiru alipoteuliwa kuwa balozi na hadi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi haya sasa huyu Hoyce Temu nae kawa balozi nasubiri mapovu na sheria zinavyosema kama walivyomnanga mwendazake kwa Bashiru.
Nadhani hujui. Kwa Bashiru issue ilikua ni u Katibu Mkuu Kiongozi siyo ubalozi. Najua utaendelea kubisha.
 
Ningekuwa nataka ningekuwa huko siku nyingi.
Hivi kuteuliwa serikalini kibongo bongo ni dili eh?

Kweli mentality zipo tofauti sana.

Wakati baadhi yetu hatutaki kabisa kufanya kazi serikalini, wengine wanaona kufanya kazi serikalini ni zali!

Ndo maana mara nyingi wengine huwa hatuelewani kabisa humu!

I mean…ubalozi nao ni dili? 🤣
 
Man, punguza negativities...

Afadhali huyo Togolani angekuwa mzee ungesema kwamba "mtu keshazeeka bado anapewa kazi"!

Sasa hoja yako kwa hapo ni ipi hasa? Kwa sababu tu alikuwa msaidizi wa JK?!
Hayo ni maoni yangu jomba, natafakari kichwani then nakuja nayo, sioni ubaya wowote hapo, haswa nikikumbuka yaliyotokea wakati akielekea kupewa madaraka, challenges alizo-face toka kwa kundi la mwendazake na support aliyoipata toka Msoga.
 
Hivi kuteuliwa serikalini kibongo bongo ni dili eh?

Kweli mentality zipo tofauti sana.

Wakati baadhi yetu hatutaki kabisa kufanya kazi serikalini, wengine wanaona kufanya kazi serikalini ni zali!

Ndo maana mara nyingi wengine huwa hatuelewani kabisa humu!

I mean…ubalozi nao ni dili? 🤣
Maisha tunayachukulia tofauti. Watanzania wengi 'uheshimiwa' ni very big deal.
 
Mkuu watu walitoa mapovu Bashiru alipoteuliwa kuwa balozi na hadi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi haya sasa huyu Hoyce Temu nae kawa balozi nasubiri mapovu na sheria zinavyosema kama walivyomnanga mwendazake kwa Bashiru.
Ishu ya Bashiru ilikuwa ni namna alivyoteuliwa kuwa KMK kutoka kuwa katibu mkuu wa chama cha siasa.
 
Back
Top Bottom