Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

Kweli awamu ya sita.

Angalizo tusije kusikia wamekosea kwenye teuzi
 
Hoyce Temu ndiye yule aliyekuwa Keko,au siyo?
Rais sijui amemfahamu vipi.
Alikuwa na kipindi chenel ten cha kusaidia watu wenye shida na matatizo mbalimbali.

Pia kwenye uchaguzi wa 2015 ndoa yake nadhani ilivunjika baada ya kukataa kumuunga mumewe mkono aliyekuwa anagombea jimbo la Mwanga kwa tiketi ya CHADEMA na yeye aliamua kumuunga mkono Magu. Hata hapa juzijuzi kuna mambo yalimsibu nadhani ndo kama kapewa pole.
 
Nina wazi chanya.

Kwa mujibu wa kumbukumbu zangu, Hoyce Temu ndiye Mlimbwende pekee wa TZ aliye na IQ kubwa inayomruhusu kuwa Mkurugrnzi wa Taasisi makini.

Nilimfahamu wakati tunatekeleza mradi wa Great Lakes Initiative, around Lake Victoria.

Alikuwa katika sekretarieti ya Mradi.

Mradi ulikuwa unatekelezwa chini ya usimamizi wa UNA Tanzania, Katibu Mkuu wakati huo akiwa Reginald Munisi.

She has a smart brain, and a beautiful face.

Kwa hiyo, sina tatizo na uteuzi wake.
Naunga mkono hoja.
 
Nimesema huyu mama anamfahamu personally as a friende to give her "ulaji" . hana sifa za kuwa balozi. Mama anaanza "friendlism". Hana sifa........ Jiwe alikuwa na ukanda hyu ana ufriendlism au undugunisation. I stand to be corrected anyway. My statement is not absolute
Nadhani tunamuona Hoyce hana sifa kwa sababu tunam-judge kutokea kwenye Entertainment Industry ambako ndiko kulimfanya afahamike!!

Ukitoa hayo, Hoyce ana elimu mzuri tu sawa na mabalozi wetu wengine!!

Binafsi nilimfahamu personally wakati yupo pale Standard Chartered kama Corporate Manager!!

Amefanya kazi pale UN nadhani kwa zaidi ya miaka 5 kupitia field yake ya habari!!

Sasa kwa kuangalia elimu na uzoefu wake wa kazi, sioni kama hao mabalozi wengine wana something very special cha kuzidi kwa mbali sana na kile alichonacho Hoyce!!!

Labda wengine wanaweza kusema hana uzoefu as a public servants! Binafsi, mimi kama mimi, nishasema sana hapa kwamba baadhi ya balozi zetu zinahitaji zaidi watu wenye uzoefu na corporate culture kuliko public service!!

Sijui Hoyce atapelekwa wapi lakini kama atapelekwa zile nchi ambazo tunahitaji zaidi kuwa na "ushirikiano" nazo na sio tu kuwa na "uhusiano" nazo, basi anyone like Hoyce Temu is a better pick kuliko watu hata kama akina Kabudi wenye PhD zao!
 
Alikuwa na kipindi chenel ten cha kusaidia watu wenye shida na matatizo mbalimbali.

Pia kwenye uchaguzi wa 2015 ndoa yake nadhani ilivunjika baada ya kukataa kumuunga mumewe mkono aliyekuwa anagombea jimbo la Mwanga kwa tiketi ya CHADEMA na yeye aliamua kumuunga mkono Magu. Hata hapa juzijuzi kuna mambo yalimsibu nadhani ndo kama kapewa pole.
Mkuu mbona kama unamzungumzia Joyce kiria
 
Elsie Kanza huyo mbwa aliyehusika kuharibu afya yako kipindi kileee kwa kujidai na cheo chake Asifikiri Mungu kasahau Anyway hongera lakini Mungu hawezi nyamaza atamalizana naye

Alihusika kwa vipi mkuu? Ebu funguka, nakumbuka alikuwa Ikulu ya Mkwere kwa muda mrefu tu!!!
 
Back
Top Bottom