Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

Chief of Staff "ametumbuliwa"

E0NhMwdXIAAW0HL.jpeg
 
Wazanzibar wanaula bara hivi kuna mtanganyika anaweza kupata uteuzi zanzibar?
 
Nchi yetu ni maskini. Ni nchi ya dunia ya tatu...
Nje kuna ukiwa sana kuna mmoja nilienda ubalozini nchi flani anihudumie nikamkuta katulia anajishonea vitambaa alinisemesha sana nilipoenda pale ni kama aliona amepata kampani alifurahi sana na hata nikaona amefurahi nadhani ule upweke na tofauti za utamaduni zinawashinda baadhi ya watu
 
Kwani ukiwa miss/ mlimbwende baada hapo hautakiwi kufanya kazi nyingine au mtu yule ndio anakuwa ameharibika? huo ni mtazamo mbaya juu ya urembo, kwani urembo unatofauti gani na michezo mingine?
Unaniuliza mimi, au?!
 
U-CDF asingeupata, kwa namna yoyote ile angeondoka tu na Mabeyo muda ukifika. Ila kama walivyosema wadau, Mabeyo must be on his way out.

Tovuti ya jeshi inasema Mabeyo kajiunga na jeshi mwaka 1979, maana yake amekuwa jeshini miaka 42 sasa. If you do the math, muda unaelekea ukingoni au umeshapita.
Mabeyo alishastaafu two years back, Meko alimuongezea muda tu
 
Ulitaka amsikilize Musiba na Sukuma Gang ?
Wewe unaamini sana katika kusikiliza sikiliza ushauri kutoka kwenye group la watu? Hapaswi kumsikiliza yeyote. Urais haupaswi kuwa na ubia na mtu au kundi lolote
 
Hawa mabalozi wote nafikiri bado wanapasha moto misuli, kabla hawajaingia uwanjani.......kazi iendelee.
 
Back
Top Bottom