Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

Aliyempiga risasi Lisu nae alivuta hapo RÀBININSIA hospital malipo hapa hapa dunia
 
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi kakosa nini jamani sio kawaida kumtoa at this time.....kamficha ubalozini daaa maisha yaenda mbio
Huko kwingine anakogusa kutatishia usalama wa nchi mama apunguze spidi
 
Mabeyo alishastaafu two years back, Meko alimuongezea muda tu
Okay, maana kama ana miaka 42 jeshini na miaka hiyo watu walikuwa wanaingia wakubwa lets say 25.. Tayari anacheza na 67 hivi.
 
Nimeridhika sana na hizi teuzi binafsi sababu kubwa ni kuwainua watu wenye experience na hizi kazi haswa kutokea MFA akina Togolani, James bwana na wengineo.

Napenda kujua wasifu wa Maulidah B Hassan maana ni junior sana ana amemaliza chuo hapo kenya miaka ya juzijuzi tuu akiwa na mdogo wake mange kimambi kwa mama wa kambo. Nildhani bora wangemchukua kijana kama Adam kuliko maulidah.( hisia za connection ndipo zinapoonekana hapa)

Hongereni sana mabalozi watarajiwa na Ndg Edwin anatisha sana na ni mbobezi wa diplomasia ya uchumi akiwa kama Export director pale Tantrade huyu angepelekwa hata East Asia ingependeza.
 
Hii comment ifanyiwe lamination kwa maslahi mapana ya kitaifa
Hawa slimy skunks sijui wanaandika mambo gani.
Nadhani wanatuonea Huruma watu wote ambao hatujafika Lamu, wanaona mawazo yetu hayajapanuka.
Kama mtu ni mbabe,aongee Kama Texas Cowboy,tubishane.
Mtu mbabe kwa aongee kwa mafumbo?
 
Afrika hususani Tanzania kuna mentality fulani fulani za ajabu ajabu mpaka wakati mwingine unajiuliza hawa watu wana akili timamu kweli au ni magarasa tu
Nadhani kuna aina ya mlo unatuathiri ubongo hatujui tu. Yaani tuna inferior mind.

Imefika sehemu mtu akisikia Fulani kateuliwa kuwa Fulani, basi ni kuponda tu. Mtu akisikia fulani katenguliwa nafasi aliyokuwa nayo, basi in SHANGWE na VIGELEGELE hata kama ni badiliko la kawaida tu.

Wabongo tuna shida sana.
1. Wivu
2.Roho mbaya.
 
Nadhani kuna aina ya mlo unatuathiri ubongo hatujui tu. Yaani tuna inferior mind.

Imefika sehemu mtu akisikia Fulani kateuliwa kuwa Fulani, basi ni kuponda tu. Mtu akisikia fulani katenguliwa nafasi aliyokuwa nayo, basi in SHANGWE na VIGELEGELE hata kama ni badiliko la kawaida tu.

Wabongo tuna shida sana.
1. Wivu
2.Roho mbaya.
Tunaambiwa tusile ugali wa mahindi, unapunguza uwezo wa kifikiri lakini bado wabishi
 
Back
Top Bottom