Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura

Nilichogundua connection inatakiwa iandaliwe tangu utoto, hivyo ni jukumu la kila mzazi kuandaa mapito ya mwanao, usipo fanya hivyo basi jiandae kuwa mlalamishi na kizazi chako!
 
Wazanzibar wanaula bara hivi kuna mtanganyika anaweza kupata uteuzi zanzibar?
 
Nchi yetu ni maskini. Ni nchi ya dunia ya tatu...
Nje kuna ukiwa sana kuna mmoja nilienda ubalozini nchi flani anihudumie nikamkuta katulia anajishonea vitambaa alinisemesha sana nilipoenda pale ni kama aliona amepata kampani alifurahi sana na hata nikaona amefurahi nadhani ule upweke na tofauti za utamaduni zinawashinda baadhi ya watu
 
Kwani ukiwa miss/ mlimbwende baada hapo hautakiwi kufanya kazi nyingine au mtu yule ndio anakuwa ameharibika? huo ni mtazamo mbaya juu ya urembo, kwani urembo unatofauti gani na michezo mingine?
Unaniuliza mimi, au?!
 
Mabeyo alishastaafu two years back, Meko alimuongezea muda tu
 
Ulitaka amsikilize Musiba na Sukuma Gang ?
Wewe unaamini sana katika kusikiliza sikiliza ushauri kutoka kwenye group la watu? Hapaswi kumsikiliza yeyote. Urais haupaswi kuwa na ubia na mtu au kundi lolote
 
Hawa mabalozi wote nafikiri bado wanapasha moto misuli, kabla hawajaingia uwanjani.......kazi iendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…