Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa mabalozi; wamo Hoyce Temu na Togolani Mavura


Tusidanganyane connections zipo na zitaendelea kuwepo dunia nzima. Lazima jina lako lipate mtu wa kulipigia debe huko mbele hata kama wewe ni mfanyakazi hodari sana na unatumia masaa mengi kazini (mfano: huko Marekani wanakotamba na demokrasia na enzi ya Rais John Kennedy ndugu yake Robert Kennedy ndiyo alimteua Mwanasheria Mkuu, enzi ya Trump mkwe wake alimpa cheo kikubwa tu pale White house).

I don't think Maulida ni junior hata hivyo kwani amekuwa pale ikulu kwa Mama alipokuwa VP kwa miaka kidogo. Kwa hivyo siyo kwamba jina limetoka tu. Hata hivi karibuni si alipewa post fulani vile?
 
Yaani wee acha tu, ni kuponda kwa kwenda mbele hata kama sisi hatuna uwezo wa kupata huo uteuzi.
 
Dokta Slaa naye atakua miongoni mwa mabalozi 23 wanaostaafu nafasi zao ndio hawa 23 waloteuliwa na mheshimiwa raisi

Bila kumtaja Dr Slaa hujaridhika.
Bado akili zake hazilinganishwi na yeyote.... Atarudi kuwasaidia vijana kama ninyi.
 
Si kweli huyo anaitwa Joyce Kiria
 
 
Bila kumtaja Dr Slaa hujaridhika.
Bado akili zake hazilinganishwi na yeyote.... Atarudi kuwasaidia vijana kama ninyi.
Sisi akili zetu safi sana! Kwani zakwake Dkt Slaa zina nini ukose kuzilnganisha na zakwetu? Usimshushe hadhi mzee wawatu.
 
Nadhani hujui. Kwa Bashiru issue ilikua ni u Katibu Mkuu Kiongozi siyo ubalozi. Najua utaendelea kubisha.
Hapana watu walitoa mapovu iweje ateuliwa balozi na kupewa Ukatibu mkuu kiongozi kwani wewe unaishai sayari gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…