JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,850
Jaribu kumfahamu JK, historia yake na namna anavyofanya mambo yake. Umuhimu wake nchini na ushawishi wake katika majeshi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijatabiri. Ila wapo waliokwisha prophesize huko nyuma..Hizo ni fikra tu ambazo mtafiti yeyote anaweza kujenga kichwani mwake. Siyo utabiri na wala hakuna hesabu katika yote haya.
Sawaaa...ila usikimbiee huu uzi wako ifikapo mwisho wa mama samia..mana manabii kama nyie mpo siku zoteMwisho wa utawala wa chama cha siasa - CCM katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilikuwa iwe wakati wa u Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete (2005 - 2010). Ukacheleweshwa kwa kitambo kidogo lakini maandalizi muhimu yakafanyika chini yake.
Kwa ulaghai na kwa udanganyifu wa kidola ktk uchaguzi mkuu wa 2015, wakaponea chupuchupu, wakaendelea kupumua.
Akamtengenezea njia Rais Hayati John P. Magufuli. Akaja na kauli za uharibifu na ubinafsi kama; "utawala wa CCM ya Magufuli" na "Tanzania ya Magufuli"
Huyu akaharibu mifumo ya utendaji ndani ya chama chake. Akaharibu pia mifumo ya utendaji ndani ya Serikali. Na kweli nchi hii ikawa "CCM na Tanzania ya Magufuli kwelikweli" isiyojali sheria wala katiba ya nchi.
Hakuweza kuelewa kuwa UOVU haujawahi kuishinda HAKI. Hakuwa kujua kuwa GIZA halijawahi kuitawala NURU.
Sasa tunaye mwanamama, Samia Suluhu Hassan aliyerithi mikoba ya uharibifu ya kichama na kiserikali ya Mwendazake John P. Magufuli.
Huyu ndiye alama ya mwisho ya anguko la Chama Cha Mapinduzi - CCM na utàwala ktk JMT. Ndiyo inaweza kuwa mwisho wa muungano laghai wa 1964 kati ya zilizokuwa nchi huru mbili za Tanganyika na Zanzibar.
Huyu atakuwa Rais wa kwanza mwanamke kutawala Tanzania na ndiye atakuwa Rais wa mwisho toka CCM kuiongoza Tanzania na ndiyo mwisho wa maisha ya Chama Cha Mapinduzi - CCM.
Alama za majira na nyakati ziko wazi sana kuhusu uthibitisho wa hoja hii:
1. KIFO CHA RAIS JOHN P. MAGUFULI
Sijadili kifo chake kilivyokuwa na sababu zake. Lakini ningependa kila mtu afahamu kuwa si cha bahati mbaya. Ni "call" muhimu, kwamba, tuko mwisho na Tanzania na Watanzania wanakwenda kuanza MAJIRA na NYAKATI mpya kabisa katika nchi yao.
Mwenye akili na asome na kufahamu haya.
2. UJIO WA RAIS WA JMT MWANAMKE
Si kawaida. Hakujiandaa. Hakudhani kuwa atakuwa. Haijalishi tunalionaje. Lakini ni tukio lenye kusudi maalumu ktk utawala wa nchi hii. Hakukubalika kwa kirahisi na kwa haraka ndani ya "deep state" na ndani ya CCM kwa sababu ya "conflict of interests" kati ya makundi mbalimbali.
Hawakumwona kuwa anaweza. Zipo sababu nyingine kama nitakavyoeleza hapa chini.Haya hayakutokea kwa bahati mbaya. Lipo kusudi na linakwenda kutimizwa sawia kitambo si kirefu.
3. UDHAIFU WA KATIBA YA JMT KUHUSU TRANSITION OF POWER IWAPO RAIS ALIYEKO MADARAKANI ANAKUFA AU KUKOSA UWEZO WA KUONGOZA NCHI:
Unaanza na upatikanaji wa "mgombea mwenza" ambaye automatic huwa Rais wa nchi mara litokeapo tukio la kifo au incumbent president kushindwa kutimiza wajibu wake kama inavyoelezwa na katiba ya JMT ya 1977.
Ukweli wa hili umethibitishwa na kifo cha John P. Magufuli na harakati za nani awe Rais badala yake. Udhaifu huu wa kikatiba siyo wa bahati mbaya. Ni ili kusudi la Mungu litimie na litatimia.
4. TANZANIA BARA KUONGOZWA NA RAIS MZANZIBARI WA UPANDE WA PILI WA MUUNGANO:
Hili linaweza na siku zote huonekana kuwa mwiko kuandikwa na kusemwa. Lakini ili tupone, ni sharti lijadiliwe kwa UKWELI na UWAZI. Hili haliko sawa. Halijakaa sawa. Haliatendei haki Watanganyika.
Na kiuhalisia, chanzo chake ni ASILI YA MUUNGANO mwenyewe. Kwamba, muungano kati ya nchi huru hizi mbili Tanganyika na Zanzibar, asili yake si watu au wananchi wenyewe. Huu ni muungano ulioasisiwa na viongozi kwa manufaa ya kisiasa ya viongozi wenyewe.
Ndani ya Chama kinachoongoza serikali (CCM) hawakubaliani na hili. Nje ya CCM wengi wetu, hatukubaliani na hili...
Tanganyika (Tanzania Bara) ina population kubwa sana ya karibu au zaidi ya watu 60,000,000. Zanzibar sehemu ya pili ya Muungano ina population ya watu wasiozidi 2,000,000.
Kuwa na kiongozi mkuu wa nchi kutoka Zanzibar halafu atawale Tanganyika, it is absolutely not right and unacceptable.
Unaweza kulazimisha na kudanganya watu kwa nyakati fulani. Lakini haiwezi kuwa hivyo nyakati zote.
Sababu hii ndiyo ilitaka kuleta mtafuruku wa kutaka kuvunjwa kwa katiba ya JMT na kisha muungano kwa baadhi ya Watanganyika ndani ya serikali na CCM kutaka kukataa kumpa u Rais mama Samia S. Hassan sawasawa na katiba inavyoelekeza.
Hii ni ishara (signal) muhimu ya udhaifu wa Muungano huu na unaithibitisha hoja hii sawia.
Sasa hili haliko kwa bàhati mbaya. Lipo kwa kusudi maalumu tangu wakati ule ili kutimizwa kwa mwisho wa majira na nyakati hizi na kuanza majira na nyakati mpya za utawala wa nchi hii.
5. KUIBUKA KWA KASI TENA YA AJABU KWA SAUTI ZA UPINZANI:
Kufa kwa Magufuli hakukutokea tu kwa sababu alistahili kufa. Lakini ilikuwa lazima afe ili haya yatokee. Mwendazake Magufuli aliandaa na kutengeneza upinzani na huu ndiyo kisu kibaya. Huyu mama hawezi kukabiliana na wimbi la kelele hizi za mabadiliko na akabaki salama bila yeye kuanguka anguko kuu.
Wasichofahamu CCM ni kuwa upinzani huu ni wa aina yake. Haujawahi kuwepo tangu mwaka 1992. Unaanzia ndani ya CCM yenyewe na kushika kasi huku nje. Utabiri wa Nyerere J. K miaka karibu 30 iliyopita unatimia mdogo mdogo.
Hili halikuja kwa bahati mbaya. Linakuja ili kusudi la mabadiliko ya kiutwala wa nchi litimie.
CCM INAWEZA KUCHELEWESHA KWA KITAMBO KIDOGO MWISHO WAKE:
Nawashangaa ni kwanini wanapingana na kelele za harakati za mabadiliko ya katiba ya JMT ya 1977. Kwa hili, hawa ndugu zetu mtu aweza kusema bila shaka yoyote kuwa hawana akili, busara wala maarifa.
Ndo kusema kuwa, wanaweza kulainisha wimbi la kelele za madai ya KATIBA MPYA YA WANANCHI kwa kukubali kwanza kufanya amendments kadhaa ili ku accommodate baadhi ya sensitive issues kulingana na mahitaji ya nyakati na majira.
Kushupaza shingo na kujaribu ku - opt "violence means" ili kuzima sauti hizi za kudai mabadiliko ya kiuongozi na utawala wa nchi hii, ni ku - speed anguko lao na bado wanalolikataa sasa likafanyika wakiwa nje.
Bado wako ndani. Watumie kikamilifu kanuni ya GIVE and TAKE. Wakubali kubaki na kidogo na pia kupoteza kidogo. Kama wanataka yawe yao yote, wakae tayari kupoteza yote.
Zanzibar na Tanganyika ni nchi moja..toeni kauli zenu za utenganishi kwa kuchuchumilia madarakaa...hakuna kitu kama hichoo..huu muungano ni wa moja kwa moja..wala msitegemee chochoteee...hayo madaraka mnayoyalilia hamtakaa muyapatee hakikaaHalileti maana...
Mpaka watoto wadogo wanauliza hili swali, la Mzanzibari kuwa Rais ktk nchi nyingine...
Nakuambia jambo moja, kuwa, ndani ya CCM yenyewe hili halukubaliki na ndilo lilosababisha "struggle for power" ndani ya CCM na ndani ya "system" ya nani awe Rais wa JMT kuchukua nafasi ya Mwendazake...
Inashangaza sana kuona CCM hawaioni kasoro hii na kwa makusudi au kwa ujinga tu wanapuuza kelele za mabadiliko ya katiba...!
Point of correction...Mleta mada chuki yako wewe kwa Mama Samia kuwa Rais wa Tanzania mwenye asili ya Unguja hakuifanyi CCM ife kwa unabii wako feki.
Samia ataondoka na watakuja wengine watachukua nafasi yake.
CCM sio ya kufa leo wala kesho mkuu. Ipo sana tu.Point of correction...
Kwanini niwe na chuki na Rais Samia Suluhu Hassan...??
Umesoma kweli andiko langu kuu lote kwa umakini na kuelewa mantiki (logic) ya hoja yangu..?
Mimi nimetoa maoni na mtazamo wangu tu, sijatukana mtu wala kumsimanga mtu..
Lakini katika kutoa maoni juu ya nchi yangu hii, utawezaje kutoitaja CCM na Rais wa sasa Ndg Samia Suluhu Hassan ili kuweka mizani sawa ya maoñi/uchambuzi...?
Mimi nasema, kwa namna ninavyoona na kwa namna mambo yalivyo na kwa kuitazama critically historia ya nchi yetu, kuna kila dalili kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ndiye alama ya mwisho ya utawala wa CCM katika siasa za Tanzania...!!
What's wrong with that? Unaweza kunipinga, wala sina tatizo kabisa mimi...
Karibu
No, sitakimbiaSawaaa...ila usikimbiee huu uzi wako ifikapo mwisho wa mama samia..mana manabii kama nyie mpo siku zote
"Ipo sana tu". Hadi lini ndugu? Je hadi 2022? Je hadi 2025? au hadi 2050...?CCM sio ya kufa leo wala kesho mkuu. Ipo sana tu.
Kama kufa ingekufa awamu ya nne ya Kikwete walipolazimika Kinana na Migiro kwenda kwa wananchi kwa lengo la kurudisha imani.
Ni chama ambacho kipo chini kabisa kikifanya siasa muda wote tofauti na vyama vya msimu vya wapigaji wa pesa za wafadhili.
Ni chama ambacho wanachama wake wapo kivitendo tofauti na hizi mbwembwe za threads za humu jukwaani.
Kuna watu watautafuta huu uzi after some years to comeMwisho wa utawala wa chama cha siasa - CCM katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilikuwa iwe wakati wa u Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete (2005 - 2010). Ukacheleweshwa kwa kitambo kidogo lakini maandalizi muhimu yakafanyika chini yake.
Kwa ulaghai na kwa udanganyifu wa kidola ktk uchaguzi mkuu wa 2015, wakaponea chupuchupu, wakaendelea kupumua.
Akamtengenezea njia Rais Hayati John P. Magufuli. Akaja na kauli za uharibifu na ubinafsi kama; "utawala wa CCM ya Magufuli" na "Tanzania ya Magufuli"
Huyu akaharibu mifumo ya utendaji ndani ya chama chake. Akaharibu pia mifumo ya utendaji ndani ya Serikali. Na kweli nchi hii ikawa "CCM na Tanzania ya Magufuli kwelikweli" isiyojali sheria wala katiba ya nchi.
Hakuweza kuelewa kuwa UOVU haujawahi kuishinda HAKI. Hakuwa kujua kuwa GIZA halijawahi kuitawala NURU.
Sasa tunaye mwanamama, Samia Suluhu Hassan aliyerithi mikoba ya uharibifu ya kichama na kiserikali ya Mwendazake John P. Magufuli.
Huyu ndiye alama ya mwisho ya anguko la Chama Cha Mapinduzi - CCM na utàwala ktk JMT. Ndiyo inaweza kuwa mwisho wa muungano laghai wa 1964 kati ya zilizokuwa nchi huru mbili za Tanganyika na Zanzibar.
Huyu atakuwa Rais wa kwanza mwanamke kutawala Tanzania na ndiye atakuwa Rais wa mwisho toka CCM kuiongoza Tanzania na ndiyo mwisho wa maisha ya Chama Cha Mapinduzi - CCM.
Alama za majira na nyakati ziko wazi sana kuhusu uthibitisho wa hoja hii:
1. KIFO CHA RAIS JOHN P. MAGUFULI
Sijadili kifo chake kilivyokuwa na sababu zake. Lakini ningependa kila mtu afahamu kuwa si cha bahati mbaya. Ni "call" muhimu, kwamba, tuko mwisho na Tanzania na Watanzania wanakwenda kuanza MAJIRA na NYAKATI mpya kabisa katika nchi yao.
Mwenye akili na asome na kufahamu haya.
2. UJIO WA RAIS WA JMT MWANAMKE
Si kawaida. Hakujiandaa. Hakudhani kuwa atakuwa. Haijalishi tunalionaje. Lakini ni tukio lenye kusudi maalumu ktk utawala wa nchi hii. Hakukubalika kwa kirahisi na kwa haraka ndani ya "deep state" na ndani ya CCM kwa sababu ya "conflict of interests" kati ya makundi mbalimbali.
Hawakumwona kuwa anaweza. Zipo sababu nyingine kama nitakavyoeleza hapa chini.Haya hayakutokea kwa bahati mbaya. Lipo kusudi na linakwenda kutimizwa sawia kitambo si kirefu.
3. UDHAIFU WA KATIBA YA JMT KUHUSU TRANSITION OF POWER IWAPO RAIS ALIYEKO MADARAKANI ANAKUFA AU KUKOSA UWEZO WA KUONGOZA NCHI:
Unaanza na upatikanaji wa "mgombea mwenza" ambaye automatic huwa Rais wa nchi mara litokeapo tukio la kifo au incumbent president kushindwa kutimiza wajibu wake kama inavyoelezwa na katiba ya JMT ya 1977.
Ukweli wa hili umethibitishwa na kifo cha John P. Magufuli na harakati za nani awe Rais badala yake. Udhaifu huu wa kikatiba siyo wa bahati mbaya. Ni ili kusudi la Mungu litimie na litatimia.
4. TANZANIA BARA KUONGOZWA NA RAIS MZANZIBARI WA UPANDE WA PILI WA MUUNGANO:
Hili linaweza na siku zote huonekana kuwa mwiko kuandikwa na kusemwa. Lakini ili tupone, ni sharti lijadiliwe kwa UKWELI na UWAZI. Hili haliko sawa. Halijakaa sawa. Haliatendei haki Watanganyika.
Na kiuhalisia, chanzo chake ni ASILI YA MUUNGANO mwenyewe. Kwamba, muungano kati ya nchi huru hizi mbili Tanganyika na Zanzibar, asili yake si watu au wananchi wenyewe. Huu ni muungano ulioasisiwa na viongozi kwa manufaa ya kisiasa ya viongozi wenyewe.
Ndani ya Chama kinachoongoza serikali (CCM) hawakubaliani na hili. Nje ya CCM wengi wetu, hatukubaliani na hili...
Tanganyika (Tanzania Bara) ina population kubwa sana ya karibu au zaidi ya watu 60,000,000. Zanzibar sehemu ya pili ya Muungano ina population ya watu wasiozidi 2,000,000.
Kuwa na kiongozi mkuu wa nchi kutoka Zanzibar halafu atawale Tanganyika, it is absolutely not right and unacceptable.
Unaweza kulazimisha na kudanganya watu kwa nyakati fulani. Lakini haiwezi kuwa hivyo nyakati zote.
Sababu hii ndiyo ilitaka kuleta mtafuruku wa kutaka kuvunjwa kwa katiba ya JMT na kisha muungano kwa baadhi ya Watanganyika ndani ya serikali na CCM kutaka kukataa kumpa u Rais mama Samia S. Hassan sawasawa na katiba inavyoelekeza.
Hii ni ishara (signal) muhimu ya udhaifu wa Muungano huu na unaithibitisha hoja hii sawia.
Sasa hili haliko kwa bàhati mbaya. Lipo kwa kusudi maalumu tangu wakati ule ili kutimizwa kwa mwisho wa majira na nyakati hizi na kuanza majira na nyakati mpya za utawala wa nchi hii.
5. KUIBUKA KWA KASI TENA YA AJABU KWA SAUTI ZA UPINZANI:
Kufa kwa Magufuli hakukutokea tu kwa sababu alistahili kufa. Lakini ilikuwa lazima afe ili haya yatokee. Mwendazake Magufuli aliandaa na kutengeneza upinzani na huu ndiyo kisu kibaya. Huyu mama hawezi kukabiliana na wimbi la kelele hizi za mabadiliko na akabaki salama bila yeye kuanguka anguko kuu.
Wasichofahamu CCM ni kuwa upinzani huu ni wa aina yake. Haujawahi kuwepo tangu mwaka 1992. Unaanzia ndani ya CCM yenyewe na kushika kasi huku nje. Utabiri wa Nyerere J. K miaka karibu 30 iliyopita unatimia mdogo mdogo.
Hili halikuja kwa bahati mbaya. Linakuja ili kusudi la mabadiliko ya kiutwala wa nchi litimie.
CCM INAWEZA KUCHELEWESHA KWA KITAMBO KIDOGO MWISHO WAKE:
Nawashangaa ni kwanini wanapingana na kelele za harakati za mabadiliko ya katiba ya JMT ya 1977. Kwa hili, hawa ndugu zetu mtu aweza kusema bila shaka yoyote kuwa hawana akili, busara wala maarifa.
Ndo kusema kuwa, wanaweza kulainisha wimbi la kelele za madai ya KATIBA MPYA YA WANANCHI kwa kukubali kwanza kufanya amendments kadhaa ili ku accommodate baadhi ya sensitive issues kulingana na mahitaji ya nyakati na majira.
Kushupaza shingo na kujaribu ku - opt "violence means" ili kuzima sauti hizi za kudai mabadiliko ya kiuongozi na utawala wa nchi hii, ni ku - speed anguko lao na bado wanalolikataa sasa likafanyika wakiwa nje.
Bado wako ndani. Watumie kikamilifu kanuni ya GIVE and TAKE. Wakubali kubaki na kidogo na pia kupoteza kidogo. Kama wanataka yawe yao yote, wakae tayari kupoteza yote.
Naunga mkono maono haya adhimu. Wachache wataelewa, maana kwa sasa taifa liko kwenye hali ngumu na wakulaumiwa ni mama wakati uharibifu wa mambo umefanyika kitambo.Nakushauri haya mtu mzima wewe, kuwa;
1. Katika mijadala jitahidi sana kusoma au kusikiliza kwa makini yatokayo kwa wenzako kabla kujibu iwe kwa maandushi au mdomo. Usijaribu kuwa insensitive and dilusional for no reasons...
2. Soma katikati ya mistari tena andiko langu kuu ili upate mantiki au logic ya nilichojadili. Nimejua kuwa hukusoma au umesoma lakini hukuelewa kwa hiki ulichoandika hapa...
3. Dhana na mantiki (logic) nzima ya andiko langu imejikita katika mambo makuu mawili
å Samia Suluhu Hassan alama kuu ya anguko la utawala wa CCM baada ya miaka 60 tangu uhuru wa wa Tanganyika 1961
å Nikajaribu kujenga hoja yangu ya anguko hili kwa kuhusianisha na udhaifu wa Muungano wa 1964 kati ya nchi za Tanganyika na Zanzibar..
4. Huu ni mtazamo wangu, maoni yangu kwa kuzungatia mazingira na kinachoendelea ktk nchi yetu. Wewe sasa kama mzee uliyekomaa, badala ujenge hoja yako kunikosoa, unarusha matusi ya kitoto na kunishauri eti nikasome ujinga wa CIVICS ya Form 2 sekondari...
Kwa hili tu lime - expose weakness yako kubwa kabisa...
Sasa nimeelewa kuwa, kumbe elimu yako wewe ni ile uliyokaririshwa form 2 na unakutumia kukariri kwako katika maisha halisi...
Nakushauri achana na hiyo. Tumia hicho kidogo sana ulichokipata sekondari kuhoji ili update ufahamu zaidi...!!
Manyang'au ya Kwanza ni Yale yanamshauri mama atumia mbinu tofauti za kumpana na Corona,maana wanajua zitatupeleka tu kwenye lockdown Kama ilivyo Kwa Uganda na Rwanda kwa Sasa.Mama amezungukwa na manyang'au
Ungeujua upinzani na ukinzani uliopo miongoni mwa wanaccm tena wazito usingeandika ulichoandika,kama ni volcano basi imeshaanza kutoa mvuke mdogo mdogo. Muda ni Mwalimu mzuri sana.CCM haiwezi kuanguka kirahisi hivyo, Hilo sahau kabisa. Tena sahau sana.
CCM ni mfumo wa utawala wa nchi. CCM sio tu ni chama bali ni nchi pia. Hili kila siku kumbuka nakuomba sana.
Ki deal na CCM hakuhitajiki akili ndogo namna hv, bali akili kubwa mno.
CCM sio wepesi hivyo. Na hv sasa ndo tupo kwenye harakati za kudai reform ya chama ndo kabisa, wapinzani watapoteana mazima
😄🤣🤣🤣🤣CHADEMA hawataki kusikia ukweli huu.Tungekuwa na upinzani makini hayo unayofikiria labda yangewezekana. Lakini kwa bahati mbaya hatuna chama cha upinzani wala mpinzani wa kweli. Sabodo alimkabidhi mwenyekiti wa chadema mamilioni ya shilingi ili ajenge ofisi za chama na kuchimba visima katika maeneo mbali mbali ya nchi, kwa lengo la kuwavuta watu wajiunge na chama lakini matokeo yake mwenyekiti akatumia mamilioni yale kwenda kula bata na wema sepetu dubai, na aliporudi kutokana na nguvu alizonazo ndan ya chama hakuna mtu aliefungua kinywa chake kumuuliza chochote kuhusiana na mamilioni aliyotafuna. Kama hiyo haitoshi mwenyekiti na genge lake wakaja na plan ya kuwachangisha wabunge kila mwezi. Wabunge wakachangia chama kwa kipindi cha miaka mitano lkn mpaka leo hawajui hela hizo zimekwenda wapi na hapo hatujazungumzia ruzuku ya chama iliyokuwa inapokea wakati wa utawala wa Kikwete na magufuli, hela za michango wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu, bado misaada ya mamilioni kutoka kwa wafadhili wa chama kule ulaya. Zote hizi zinatafunwa na mwenyekiti pamoj na genge lake la kumtetea hapa mitandaoni ili kufunika mabaya yake na ya chama kwa ujumla. Lipumba, Zito na Mbatia hawa ndo tunawatumia tutakavyo kudhoofisha upinzani nchini. Kifupi hakuna upinzani wa kuitoa CCM madarakan labda miaka 40 ijayo. Baada ya hawa wenyeviti wachumia matumbo kustaafu siasa au kutoka kweny nafasi zao.
Magu aliamini pia atakuwa Rais hadi mwisho wa duniaCCM itatawala mpaka mwisho wa dunia