Tibalikwenda
JF-Expert Member
- Aug 27, 2020
- 284
- 604
Hii ni mara ya pili huyu waziri wa TAMISEMI anahonywa mbele ya hadhara kwamba abadilike katika utendaji wake...
Hata aje Waziri gani,hiyo wizara isipobadilishiwa utaratibu utatumbua Sana maana Magu katumbua lakini wapi