Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama tuliolewa na waziri jafo waziri akiondoka jafo atatufaa nini🙄Kwahiyo akiondolewa uwaziri wote mtamkimbia? Aisee!
Huna udukuzi wowote. Kama unashindwa kutoa hoja unaleta vioja.. don't quote me.We ni kikaza unadhani ni tamisemi ni chama cha mpira
Kwann ufanye hiyo assumption!?Tunashauri ukubwa wa Baraza la mawaziri upunguzwe wewe ndo kwanza unataka wizara moja iwe na mwaziri sita! Labda nawe NI mnufaika wa hizo teuzi.
Hata wakati wa Magufuli, Halmashauri zilikuwa zinapata hati chafu. Tena zile zilizoongozwa na upinzani kumbuka Kigoma ujiji huko. Na baadhi ya wakurungezi kutakiwa kujieleza.Yaani juzi tu wala maboga walibwatuka kuwa jiwe ni Rais pekee aliyeweza kuikoa Tz na genge la wezi....
Hana akili yule kukuelewa itamchukua muda sanaHii ni mara ya pili huyu waziri wa TAMISEMI anahonywa mbele ya hadhara kwamba abadilike katika utendaji wake.
Kwa kauli ya leo kutoka kwa Rais Samia Suluhu, Jaffo anatakiwa kujizuru nyazifa zake.
Kakini pia huyu Jaffo ana nini cha mno mpaka aendelee kupewa maonyo kila siku juu ya utendaji wake na usimamizi wa mali za umma?
Katika hili Jaffo unatakiwa utumie hekima na busara kuiacha TAMISEMI, kiuhalisia wizara hii kubwa imekushinda.
kinacho mkosti jafo,ni halmashauri,na mikoa,taarifa za ukaguzi wa ndani anazopewa ni cooked riport,pili wasaidz wake ndo wanamkaanga,kusema wizara ni kubwa sio kweli.hili ni kalipio la tatu kwake,hata hivyo kujituma kwake kwa bidii ndo kumempa credit ya kupewa nafasi nyingine.kuvumiliwa kiasi hiki maana yake wanatambua jitihada zake,Ila inambidi afanye kusahihisha makosa.Jafo mbona alikuwa busy sana kukagua miradi mbali mbali iliyo kuwepo tamisemi ..binafsi nahisi shida ipo ktk halmashauri na tawala za mikoa husika
Pengine ukaguzi wa ndani unashida pia
Lakini binafsi naona bado Jaffo ana paswa awe na msaidizi mkali mwenye uzoefu zaidi kuliko wanaomsaidia sasa maa naTammisemi ni kubwa mnoooo. Pengine ipewe ma naibu mawaziri wawili