Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi,na wakurugenzi ni majanga sana...mkuu kwan unafikir ni kazi lahisi kusimamia wakurugenz wa halimashauli zote nchin? ataenda sasa kuwabana wakulugenz wote maana hao ndio watendaj wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
waziri husika amepewa warning. akizembea zaid ya hapo kibarua bye byeNimeshtushwa na tuhuma za rushwa za TAMISEMI, niliwahi kushauri na Sasa nashauri Mhe. Rais ajitenge na TAMISEMI amwachie Waziri Mkuu ili iwe raisi kwake kuimulika. Ikiwa chini yake ikatuhumiwa ametuhumiwa na nivigumu kumwajibisha maana baadhi ya nyaraka zao anakuwa kazipitisha yeye.
Wizi wizi wizi umekuwa mwiba kwa taasisi zetu, hakuna usafi inategemeana Nani yupo
Ndio hayo aliyoambiwa sasa, Jafo anajifanya kukagua miradi kama kiini macho wakati huku nyuma ya pazia analinda upigaji mtupu.Jafo mbona alikuwa busy sana kukagua miradi mbali mbali iliyo kuwepo tamisemi ..binafsi nahisi shida ipo ktk halmashauri na tawala za mikoa husika
Pengine ukaguzi wa ndani unashida pia
Lakini binafsi naona bado Jaffo ana paswa awe na msaidizi mkali mwenye uzoefu zaidi kuliko wanaomsaidia sasa maa naTammisemi ni kubwa mnoooo. Pengine ipewe ma naibu mawaziri wawili
Ndio hayo aliyoambiwa sasa, Jafo anajifanya kukagua miradi kama kiini macho wakati huku nyuma ya pazia analinda upigaji mtupu.
Na kama hujui tu, zile ziara za kukagua miradi ndio mahali pa maafisa wa serikali kujilipa posho na masurufu mengine.
Rais amehoji, hiyo TAMISEMI imekuwa ikitaka tu kupewa pesa na serikali kuu lakini wao hawakusanyi pesa zao. Wanajipangia matumizi (posho, mishahara, miradi) wanavyotaka wao, wakati pesa sio za kwao na wala hawana uchungu nazo
Uendeshwaji huu wa Serikali za mitaa ni wahovyo.. wao badala ya kukaa na kuhudumia wananchi ili wajitoe kulipa kodi kikamilifu.. wanangojea bajeti wakae waanza kuzitumbua..Ndio hayo aliyoambiwa sasa, Jafo anajifanya kukagua miradi kama kiini macho wakati huku nyuma ya pazia analinda upigaji mtupu.
Na kama hujui tu, zile ziara za kukagua miradi ndio mahali pa maafisa wa serikali kujilipa posho na masurufu mengine.
Rais amehoji, hiyo TAMISEMI imekuwa ikitaka tu kupewa pesa na serikali kuu lakini wao hawakusanyi pesa zao. Wanajipangia matumizi (posho, mishahara, miradi) wanavyotaka wao, wakati pesa sio za kwao na wala hawana uchungu nazo.
Mama akitaka kufanya makubwa na kuiendeleza hii nchi..afanye yafuatayo.Mswahili alijikita kwenye kusifia tu, Mwigulu, Kabudi, Jafo, Ndalichako na Mkumbo hafai kabisa kuwa viongozi hata kwa dak 1
Ataanza kusifia na atasahau yoteMama akitaka kufanya makubwa na kuiendeleza hii nchi..afanye yafuatayo.
-afanye marekebisho ya katiba haraka..
- aunde baraza jipya haraka..
- sheria za utumishi wa uma na maadili zizingatiwe bila kuoneana soni..
- Awakataze wasaidizi wake kufanya kazi mbele ya kamera..wengi wanamdanganya na si watendaji bali wanajitafutia umaarufu.
-Amuongezee fungu Cag aweze kufika KILA shirika na taasisi..na ripoti yake ichukuluwe kwa uzito.
-asiwaone upinzani kama maadui bali wabia kwenye maendeleo ..wakiongea upuuzi wapotezee ..wakiongea point zichukue ziboreshe uzifabyie kazi.
-Umeshawahi kujiuliza ni kwa nn makampuni makubwa binafsi yapo KILA siku na yanatengeneza faida ila taasisi na mashirika ya serikali KILA siku hasara? Ni kwa sababu makampuni binafsi KILA mwajiriwa anapewa target..na lazima uzifikishe..utawezeshwa KILA kitu kazi kwako..na KILA quarter wanakufanyia review ya target zako..umezitekeleza vipi na umefika wapi..ni muda saaa serikali ina adopt mfumo wa haya makampuni utumike serikalini ..hii itapunguz mazoea na uzembe kazini..ukijua fika usipopiga kazi na ukizembea unapigwa chini
Labda anashindwa kugawa muda wake maana tuliambiwa ana bibi wadogo kadhaaKakini pia huyu Jaffo ana nini cha mno mpaka aendelee kupewa maonyo kila siku juu ya utendaji wake na usimamizi wa mali za umma?
Katika hili Jaffo unatakiwa utumie hekima na busara kuiacha TAMISEMI, kiuhalisia wizara hii kubwa imekushinda
Kwani sasa hivi ina Manaibu wangapi? Ni kwamba kazi hajui tu yeye pamoja na timu yake.Jafo mbona alikuwa busy sana kukagua miradi mbali mbali iliyo kuwepo tamisemi ..binafsi nahisi shida ipo ktk halmashauri na tawala za mikoa husika
Pengine ukaguzi wa ndani unashida pia
Lakini binafsi naona bado Jaffo ana paswa awe na msaidizi mkali mwenye uzoefu zaidi kuliko wanaomsaidia sasa maa naTammisemi ni kubwa mnoooo. Pengine ipewe ma naibu mawaziri wawili
Upo sahihi kiongozi, Waziri Jafo sio mteuaji wala mwajibishaji wa watendaji wakuu wa Halmashauri (Wakurugenzi) na pia yawezekana mifumo ya uendeshaji wa halmashauri sio rafiki sana katika kudhibiti mambo yasiyoendana na matakwa ya serikaliShida haipo kwa Jafo bali shida ipo kwa wakurugenzi na pia Tamisemi ni wizara ngumu ndo maana akawekwa kijana(Jafo) ili aweze kuimudu.
Mh. Rais amesema Wizara ya Tamisemi ina matumizi ya ovyo ya pesa za Serikali, yenyewe haikusanyi ni mwendo wa matumizi kwa kwenda mbele hivyo kamwagiza Waziri Jafo afuatilie vizuri matumizi ya wizara yake na kama akishindwa Basi asaidiwe(atumbuliwe)
Ushauri.
Mh Seleman Jafo jipange; Halmashauri, Hospitali,miradi ya ujenzi wa shule n.k hela zinapigwa sana, vituo vya afya EFD mashine hazitumiki vilivyo. Fuatilia Mama Samia hatakuhurumia atakutumbua shauri yako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila wanzanzibar wana maneno matamu sana "Eti kama umeshindwa tuambie tukusaidie" utadhani ni komplimenti kumbe...