Ninyooke kwani mimi ni Kheri James!! πHahahaha mtanyooka tu!
Alitaka Rose Migiro sijui ndiyo hivyo
Kuweni wapole tu bado mambo yanaenda kama yalivyopangwa!Mpango ana utulivu moyoni na akilini. Mh. Rais anatuonesha taswira ya utawala wake. Itakuwa ni awamu ya kutumia zaidi akili kuliko maguvu. Itakuwa awamu ya weledi na ustaarabu.
Mawaziri wale wenye huluka ya kutumia zaid akili kuliko nguvu, wenyebule usjba wa madaraka, wenye asili ya kusifia kwa unafiki, watambue kuwa hii siyo awamu yao, ni misfit.
Watu wale wenye tabia za kufanana na akina Kabudi au Nchemba, hawastahili kwenye awamu hii.
Kumbe na kusjishaua kote hunaga hata kadi ya chama?[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]Imepenya hiyooooooo
Hongera sana Philip Mpango kwa uteuzi
Tuna imani kubwa kwa Rais wetu Samia Suluhu Hassan, Mungu akutunze sana Madame
Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli, ujue tuu ulituachia viongozi makini sana
Ila aliyetungaga haka kawimbo sijui aliwazaga nini
Chama imara, serikali imara...... ngoja nikajiunge rasmi sasa nipate usajili wa chama kwa mara ya kwanza
CCM ni ile ile!
Huyu ndio alikuwa boss wa Dotto James hivyo msitarajie jipya kuhusu makandokando ya Dotto James tena
Dotto ndio alikua bosi wa mpango hata kama mpango alikua ndio waziriCCM ni ile ile!
Huyu ndio alikuwa boss wa Dotto James hivyo msitarajie jipya kuhusu makandokando ya Dotto James tena .
Nakuheshimu sana mkuu....Hajafit kwa nini Toa sababu za msingi au umlete shangazi yako awe makamu wa Rais.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bora hata ya huyo, kuliko Kabudi.
Yuko njema!vip hali ya afya yake kwa sasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kigogo hoi
Amepoa sana....kwa matendo ya wanaccm haweziI am sorry, Mpango hafai
Aah wapi, mama kuchagua YES MAN asiye na madhara kwake.
[emoji3][emoji3][emoji3]Tunamuongelea Mpango, wewe na mimi hatukupewa nafasi kwenda kuongea na vyombo vya habari tukiwa wagonjwa.
KigomaMTU wa wapi uyo VP PRESIDENT
Hana uwezo tena amezeekaHuyu apewe wizara ya sheria na katiba