Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Mpango ana utulivu moyoni na akilini. Mh. Rais anatuonesha taswira ya utawala wake. Itakuwa ni awamu ya kutumia zaidi akili kuliko maguvu. Itakuwa awamu ya weledi na ustaarabu.

Mawaziri wale wenye huluka ya kutumia zaid akili kuliko nguvu, wenyebule usjba wa madaraka, wenye asili ya kusifia kwa unafiki, watambue kuwa hii siyo awamu yao, ni misfit.

Watu wale wenye tabia za kufanana na akina Kabudi au Nchemba, hawastahili kwenye awamu hii.
Kuweni wapole tu bado mambo yanaenda kama yalivyopangwa!
 
Imepenya hiyooooooo

Hongera sana Philip Mpango kwa uteuzi

Tuna imani kubwa kwa Rais wetu Samia Suluhu Hassan, Mungu akutunze sana Madame

Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli, ujue tuu ulituachia viongozi makini sana

Ila aliyetungaga haka kawimbo sijui aliwazaga nini

Chama imara, serikali imara...... ngoja nikajiunge rasmi sasa nipate usajili wa chama kwa mara ya kwanza
Kumbe na kusjishaua kote hunaga hata kadi ya chama?[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
 
Fedha ipo wazi
Jaman tuombe asije kachaguliwa yuleeeee
 
Back
Top Bottom