Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Maisha ni kupambana tu tukikalia huruma za wanasiasa ni kufa kwa stress tu,
 
Nipende kumshukuru mwenyezi Mungu rahimu kwa kuturuzuku uhai, hakika leo ni siku aliyoifanya Bwana
Prof Miaka Kenda
 
Rais ajae kamili huyo
Makamu wa rais na Waziri Mkuu kupata urais kwa njia ya uchaguzi ni kazi ngumu mno.
Labda aupate kama alivyopata mama Samia.

Warioba, Malecela, Msuya. Sumaye, Mizengo Pinda, Dr Salim, Lowasa, Gharib Bilal Hawa wote walijaribu kuupata urais lakini walianguka.

Labda huyu awe wa kwanza kuvunja mwiko
 
Mpango ana utulivu moyoni na akilini. Mh. Rais anatuonesha taswira ya utawala wake. Itakuwa ni awamu ya kutumia zaidi akili kuliko maguvu. Itakuwa awamu ya weledi na ustaarabu.

Mawaziri wale wenye huluka ya kutumia zaid akili kuliko nguvu, wenyebule usjba wa madaraka, wenye asili ya kusifia kwa unafiki, watambue kuwa hii siyo awamu yao, ni misfit.

Watu wale wenye tabia za kufanana na akina Kabudi au Nchemba, hawastahili kwenye awamu hii.
Na ni mcha mungu kweri kweri
 
Tunajadili Makamu wa Rais CHADEMA inaingiaje hapa? Kaoge inaelekea bado umelowa matako!
Hahahhaha... Una hasira sana!!

Tulia wenye nchi tunapitusha jina la makamu rais, wewe nenda twita kamfuatilie belgiji na kigogo
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Bila shaka hakuna aliyetegeamea
Wakati mwingine pia kutajataja majina kunawafanya muwaharibie wenzenu hata kama Rais alitaka kuwateua lakini kutokana na kutajwa sana Rais inabidi awaepuke.

HONGERA DR PHILIP MPANGO

Ni wakati wa Zito kurudi bungeni sasa
Kutaja kunasaidia, wale walikuwa hovyo
 
Ila Prof kabudi majalala anajua mapambio safi sana mzee wa full light
 
Back
Top Bottom