AlishaponaDuh siwalisema anaugua?
Kigoma-MuhaMTU wa wapi uyo VP PRESIDENT
Makamu wa rais na Waziri Mkuu kupata urais kwa njia ya uchaguzi ni kazi ngumu mno.Rais ajae kamili huyo
Si ndo ur source of info.ππKwani Kigogo ni msemaji wa serikali au aliwahi sema ni lazima atoe kila taarifa. Unakaribishwa lift unapiga na honi
Hili swali linakusaidia nini? Ni Mtanzania, Msukuma wa Kaliua, TaboraMTU wa wapi uyo VP PRESIDENT
Huwa ana roho mbaya sanaaaaaaaaaAmepoa sana....kwa matendo ya wanaccm hawezi
Na ni mcha mungu kweri kweriMpango ana utulivu moyoni na akilini. Mh. Rais anatuonesha taswira ya utawala wake. Itakuwa ni awamu ya kutumia zaidi akili kuliko maguvu. Itakuwa awamu ya weledi na ustaarabu.
Mawaziri wale wenye huluka ya kutumia zaid akili kuliko nguvu, wenyebule usjba wa madaraka, wenye asili ya kusifia kwa unafiki, watambue kuwa hii siyo awamu yao, ni misfit.
Watu wale wenye tabia za kufanana na akina Kabudi au Nchemba, hawastahili kwenye awamu hii.
Kitambo sana na kwenye mazishi ya mzee alikuwepo bukheri kabisa...Amepona??
Swali zuri sanaVipi chaguo lako alikuwa nani?
Hahahhaha... Una hasira sana!!Tunajadili Makamu wa Rais CHADEMA inaingiaje hapa? Kaoge inaelekea bado umelowa matako!
Kutaja kunasaidia, wale walikuwa hovyoBila shaka hakuna aliyetegeamea
Wakati mwingine pia kutajataja majina kunawafanya muwaharibie wenzenu hata kama Rais alitaka kuwateua lakini kutokana na kutajwa sana Rais inabidi awaepuke.
HONGERA DR PHILIP MPANGO
Ni wakati wa Zito kurudi bungeni sasa
Mtu anatoa siri za serikali yake,tena za ikulu,alafu wapumbavu wanamshangilia!Wajinga tu ndio amewashika akili