Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Mlioko live vp? Kura tayari?
Watu wanaeza kupindua meza jamani
 
huyo wa maisha muda huu anaungua moto kwa maovu aliyotenda hapa duniani
Familia ya mwenda zake wakisoma yanayoandikwa humu watawaza sana.

Ila nakumbuka kuna familia baba zao waliumbuliwa mbele ya kadamnasi ,wengine walipoteza maisha kwa hali ile ya kufokewa mbele ya makamera.

Yaani,dunia hii,acha tu.

Nakumbuka Jafo alimfokea mtu hazimia, lakini na yeye leo anapewa maonyo makali kabisa.

Lakini unakuta kuna vichaa hawataki kujifunza haya.
 
Noma sana
 
net worth 62m???
 
Hongera Philip Isdory Mpango.

Walofanya betting, aisee hela zimeliwa…..
 
Alikua ceremonial tu pale, alikua anatukanwa na meko hadi akapata presha akataka ajiuzulu wakamuonya.
Dotto safari iko palepale
CCM ni ile ile!

Huyu ndio alikuwa boss wa Dotto James hivyo msitarajie jipya kuhusu makandokando ya Dotto James tena .
 
Dada mama D Ramli za Kigogo Hazijatimia? Ni Watu wajinga Tu wanaoweza kumwamini Kigogo, Mara January, Nchimbi, Mara Sjui Bashiru. Wale waleta twiti za Kigogo Hakuna Twiti Mpya Huko? [emoji2][emoji2][emoji2]
Waumini wa Tundu tuu ndio wana imani juu yake 😅😅😅
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaumia sana! Sukuma gang ni wapi? Walikuwa kwenye nafasi zipi na sasa wapo nafasi zipi?

Hii ndio ccm, ni kama maji usipoyanywa utaoga
Pengine Kuna kundi wanaona wanaona wasukuma ni threat in future ndo maana hasa ya hiyo slogan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…