kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
Ni msukuma mwenzio Huyo?Nani Aliekuambia mpango hayup Kwenye sukuma gang ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni msukuma mwenzio Huyo?Nani Aliekuambia mpango hayup Kwenye sukuma gang ?
Ndio maana kasema hii kazi sio ya mjomba tenaYawezakana akawa Kiongozi mzuri. Kama kulikuwa na shaka kwenye Uwaziri wake huenda ni kutokana na presha ya utawala uliopita.
Hao wanao mtaja taja ni chawa wake au kwa kutokujua watu wanafata mkumbo sababu nyuma yake ana backup kubwa ya chawa mitandaoniHuyo jamaa ana nyota ya kutajwa sana, sijawahi kuona akifaa nafasi yoyote ya juu popote kiuongozi.
Sijui ni chuki zangu tu!!
Sijui wanataka wamfanyie tambiko au
Nani kakudanganya Waha kwa asili ni wabishi hasa pale anapokuwa ni mcha Mungu na ana simamia kweli , haki na sheria. Kumbuka sakata la bandarini na mtoto pendwa.
Uyu team Msoga ndo atakamata wizara ya fedha,au nasema uongo ndugu zangu Bavicha?January makamba yuko wapi hivi???
Amewahi fanya kazi WBHuyu namkuunga mkono asilimia 100. Sio kwa sababu ni mpango bali kwa sababu wakati anateuliwa na rais JPM ktk speech yake alimtaja Lee Kuan Yew wa Singapole.
Nikajua mpango ni mtu mkubwa sana maana anajua watu waliofanya miujiza ya kiuchumi nchini mwao.
Pia sio mrohomroho wa madaraka kama wale tunaowafahamu.
Rais umenifurahisha.
Tuko pamoja,
Niliyo nayo yatoshaUkipewa utakataa...
Hata mm napendekeza mipango ni sahihi Kazi zitaenda ni muadilifu,ni msikifu,ababaiki back sakata la makontena la bashite alisimamia sheria,pili sio team kanda pendwa.
Huwezi kumlinganisha na hao wengine walafi wa madaraka.yuko vizuri sna jamaa, ni kama hazina huyu jmaa kuwepo nchini
Tusubiri..muda utasemakuna tofauti kubwa kati ya mtu mpole na mtu ambae si muongeaji.
ninachoona ww umezoea mtu wa kufokea watu. kufokea si element ya kiongozi.. matendo tu
Kasome Cvs yake,,, Ana masters ya philosophyHivi huyu gwajima atajadili bajeti kweli huyu?