Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Mtumishi wa MUNGU ananukuu maneno ya piere Liqid.


poor him
 
Huyo jamaa ana nyota ya kutajwa sana, sijawahi kuona akifaa nafasi yoyote ya juu popote kiuongozi.

Sijui ni chuki zangu tu!!
Hao wanao mtaja taja ni chawa wake au kwa kutokujua watu wanafata mkumbo sababu nyuma yake ana backup kubwa ya chawa mitandaoni
 
Binafsi sioni Shida na Dk.Mpango! Hana mambo mengi! Nimefurahi pia mh rais kuondoa zile speculations za the so called "sukuma gang.

Ni kweli ni mpole lakini kwa nature ya cheo cha umakamu naamini atamudu vizuri japo hii nafasi kwa jicho la tatu ni mh Rais kacheza kama pele..Lets wait and see!
 
Nani kakudanganya Waha kwa asili ni wabishi hasa pale anapokuwa ni mcha Mungu na ana simamia kweli , haki na sheria. Kumbuka sakata la bandarini na mtoto pendwa.

Kwahiyo wewe unamuona Mpango anaweza kutikisa nafasi ya Mama pale juu? Mama kafanya kama JK tu kutuletea Bilal.
 
Je Chini ya Samia = Chini ya Jpm ?
Je Mpango wa Jpm = Mpango bila Jpm?
Mpango ni nani katika utendaji? Tutafahamu tu.

NB: KUNA VIONGOZI WENGI SANA NAAMINI WALIFANYA MAAMUZI YA KIUONGOZI KWA TONE YA JPM.
 
Huyu namkuunga mkono asilimia 100. Sio kwa sababu ni mpango bali kwa sababu wakati anateuliwa na rais JPM ktk speech yake alimtaja Lee Kuan Yew wa Singapole.

Nikajua mpango ni mtu mkubwa sana maana anajua watu waliofanya miujiza ya kiuchumi nchini mwao.


Pia sio mrohomroho wa madaraka kama wale tunaowafahamu.

Rais umenifurahisha.

Tuko pamoja,
Amewahi fanya kazi WB
Yuko vizuri mno
 
Hata mm napendekeza mipango ni sahihi Kazi zitaenda ni muadilifu,ni msikifu,ababaiki back sakata la makontena la bashite alisimamia sheria,pili sio team kanda pendwa.

Sijui kuhusu kusimamia sheria lakini anahitajika mchumi katika nafasi hii. Na huyu anaelekea ndio fani yake na anaimudu. Anahitajika mtu mwenye weledi kuliko mwanasiasa kwa wakati huu.

Pendekezo langu ni kuwa iundwe Kamati ya Taifa ya Uchumi ambayo itakuwa chini yake na ambayo itakuwa na wachumi wabobezi bila kujali itikadi zao. Kamati hii ndio iwe inatoa ushauri kwa serikali kuhusu masuala ya uchumi.

Amandla...
 
yuko vizuri sna jamaa, ni kama hazina huyu jmaa kuwepo nchini
Huwezi kumlinganisha na hao wengine walafi wa madaraka.

Kwanza huu uongozi unapunguzia stress taifa. Rais na makamu watu ambao hawana kashfa yoyote.

Wanavutia kuwaunga mkono. Maana wote wanaonekana kukaa hapo kwa sababu Mungu ameruhusu sio kwa mbinu na mapambano ya kisiasa
 
Chadema changamkieni jimbo hilo.Jambazi limeshalala
 
Back
Top Bottom