Kalamu ya Mwananchi
Senior Member
- Oct 27, 2020
- 100
- 552
KigomaMTU wa wapi uyo VP PRESIDENT
Atakuwa Mbena huyuMTU wa wapi uyo VP PRESIDENT
Vipi chaguo lako alikuwa nani?CCM ni ile ile!
Saitakuaje😂😂😂Seriuos..hajafit
Hahahha.. Hamkosi sababu..Anaondolewa Hazina kiakili sana
Ha ha
Yani hata uwezo wa ku analyze mambo huna...wewe ni chuki tu..sasa mpango ni legacy ya nani ? Alikuwa mtu anaaminiwa na nani? Mpango ameletwa na magufuli.Sukuma gang naona mnaweweseka ..tulieni sindano bado inapenya tarattiiiibuuu....
Pigo la kwanza takatifu murua kabisa
Sasa tunasubiri mapigo mengine ...