Usihangaike na huyo hajui kitu huyo ni fuata upepo tu.Kama ni team kikwete kwanini team kikwete wanapingana na uteuzi wake na wamenywea?
Unajua pendekezo la kikwete alikua nani nani kwa ajili ya u VP?
Umeonaeeeeee?Huyu ni wakuonea huruma bado hajaamini mtukufu kafariki
Ila akiwa na ticket ya CCM kwanza.Bila shaka hakuna aliyetegeamea
Wakati mwingine pia kutajataja majina kunawafanya muwaharibie wenzenu hata kama Rais alitaka kuwateua lakini kutokana na kutajwa sana Rais inabidi awaepuke...
Wewe unayajua ya CCM? Ya CDM yamekushinda sasa umerukia ya CCM!! Utayaweza dogo??Ukibisha uwe na sababu
Dr. Mpango ni moja ya move nzuri sana ya mama samia. Huyu mtu fuatilia historia yake kabla ya uwaziri utaelewa. JPM alimchukua sababu ni mzuri sana pia kwenye kufuata maelekezo.Haya tumewasikia sasa tumemthibitisha Makamo wa Rais Dr. Mpango. Semeni jingine?
Hata kiswahili nacho kinakupiga chenga? 😂😂😂Moyo ninao tangu nazaliwa nitajipaje tena?
Ushavurugwa tayari?
Mtanyooka tu! Kazi ni ileile haibadiriki endeleeni kujipa moyo tu wanasaccos.Huyu ni wakuonea huruma bado hajaamini mtukufu kafariki
Si umesema mimi siyo size yako? Imekuaje tena dada?
Ni mwananchi muumini ambaye kwa imani yangu na uhakika JIWE lupo motoni akiugulia maumivu kwa kuhusika na vivo vya ben, azory kong'oke na wengineo wengi.Wewe ni nani unaemheaabia dhambi mwenzio!
Kama kufanya kazi na serikali Kikwete umekuwa timu yake,basi hata JPM alikuwa timu ya Kikwete maana alikuwa waziri wa Kikwete kwa miaka kumi 😄😁😄😄😄Hiyo yoote ni team Kikwete na kama unabisha basi bisha kujifurahisha tu.
Kaaazi ndiyo kwanza inaaanza upyaaaaaaaaaaaaaaa
[emoji1][emoji1][emoji1]Hongereni aiseezam hii kanda ya magaharibi -- Kigoma moja tumekumbukwa hahahahah Big up Mama SAMIA kwa good selection..KIGOMA OYEEEEEEEEEEEE
Tulishamsaksia Corona mara moja,tukimsaksia tena mara ya pili anaenda na maji!Tuko vizuri sana na tumejipanga vizuri sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Masikini mwee!
Wewe ni kidagaa tu hapa nchini, hujui chochote utaendelea kushudia ccm wakibadirishana vyeo huku wewe ukiendelea kupiga yowe hapa Jf
Mbwa tenaTeh teh teh
Hivi walimtaka nani hao mbwa?
Siwezi poteza huo muda. Ila ninyi ambao mnamtukuza ndo twawauliza vipi huko, matango?Wewe ulivyoingia huko uliiona nini!?
Sisi tunamjua vizuri Dr. Mipango na ndiyo alikuwa nguzo ya maendeleo ya awamu ya tano ya Magufuli ndiyo maana hata Rais Mama Samia ameamua awe msaidizi wake wa karibu ili waweze kuendeleza kazi iliyoanzishwa na Serikali ya Awamu ya Tano.Dr. Mpango ni moja ya move nzuri sana ya mama samia. Huyu mtu fuatilia historia yake kabla ya uwaziri utaelewa. JPM alimchukua sababu ni mzuri sana pia kwenye kufuata maelekezo...
Mtanyooka tu! Kazi ni ileile haibadiriki endeleeni kujipa moyo tu wanasaccos.
Jamhuri ya TwitterTeam msoga hamna vyenu
Mmepewa Authority Twitter Kwan haiwatoshi ?
Wewe ni nani kwenye saccos? Wenye saccos wanachukua wewe baki kutoa mapovu kwenye mitandao ya kijamii tu.Wacha ujinga wewe MATAGA, cdm haijawahi kuchukua ruzuku ya hao covid 19