Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Bila shaka hakuna aliyetegeamea
Wakati mwingine pia kutajataja majina kunawafanya muwaharibie wenzenu hata kama Rais alitaka kuwateua lakini kutokana na kutajwa sana Rais inabidi awaepuke...
Ila akiwa na ticket ya CCM kwanza.
 
Haya tumewasikia sasa tumemthibitisha Makamo wa Rais Dr. Mpango. Semeni jingine?
Dr. Mpango ni moja ya move nzuri sana ya mama samia. Huyu mtu fuatilia historia yake kabla ya uwaziri utaelewa. JPM alimchukua sababu ni mzuri sana pia kwenye kufuata maelekezo.

Unajua nyinyi watu wa makundi mnaomfuatilia kigogo mnafanya kosa moja, yaani kwenu kigogo akikosa basi mnaamini upande wa pili wa anayepigana naye umepata.
 
Moyo ninao tangu nazaliwa nitajipaje tena?
Ushavurugwa tayari?
Hata kiswahili nacho kinakupiga chenga? 😂😂😂
Yani hii nchi ni yetu sote mtaelewa tu...Asante JPM, Asante Mama Samia, Asante Mabeyo kwa dokezo tunaona matokeo kwa MPANGO. Nchi mbele kwa mbele yaaani!! Pre-2015 tupa mbali kabisa. Waende kwa hao wazungu wanao waabudu na kuwagawia resources zetu.
 
Si umesema mimi siyo size yako? Imekuaje tena dada?

Kwani UlivyoniPM ulisema unataka sidiria saizi gani Dada?

Usione aibu vitu vidogo hivo. Again what size is your bra? Taja na rangi kabisa nikakuchukulie
 
zam hii kanda ya magaharibi -- Kigoma moja tumekumbukwa hahahahah Big up Mama SAMIA kwa good selection..KIGOMA OYEEEEEEEEEEEE
[emoji1][emoji1][emoji1]Hongereni aisee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Masikini mwee!

Wewe ni kidagaa tu hapa nchini, hujui chochote utaendelea kushudia ccm wakibadirishana vyeo huku wewe ukiendelea kupiga yowe hapa Jf
Tulishamsaksia Corona mara moja,tukimsaksia tena mara ya pili anaenda na maji!Tuko vizuri sana na tumejipanga vizuri sana.
 
Dr. Mpango ni moja ya move nzuri sana ya mama samia. Huyu mtu fuatilia historia yake kabla ya uwaziri utaelewa. JPM alimchukua sababu ni mzuri sana pia kwenye kufuata maelekezo...
Sisi tunamjua vizuri Dr. Mipango na ndiyo alikuwa nguzo ya maendeleo ya awamu ya tano ya Magufuli ndiyo maana hata Rais Mama Samia ameamua awe msaidizi wake wa karibu ili waweze kuendeleza kazi iliyoanzishwa na Serikali ya Awamu ya Tano.

Miradi yote anaijua kwa ukaribu sana tu na ameshiriki kuiandaa. Sasa wanasaccos wanafikiri eti huyo yuko kinyume na Hayati Magufuli wakati huyo ndiyo alikuwa Waziri kipenzi cha Hayati Magufuli.
 
Mtanyooka tu! Kazi ni ileile haibadiriki endeleeni kujipa moyo tu wanasaccos.

Hakuna cha kazi ni Ile Ile msijipe moyo. Your dear Chato husband is gone. FOREVER. Na uzuri JF hamna kubadili username si mlizani atakaa milele. Mtaita maji mma.

This is another man's show. Hakuna tena kulipwa buku saba kutroll watu mitandaoni.
 
Back
Top Bottom