Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Hakuna cha kazi ni Ile Ile msijipe moyo. Your dear Chato husband is gone. FOREVER. Na uzuri JF hamna kubadili username si mlizani atakaa milele. Mtaita maji mma.

This is another man's show. Hakuna tena kulipwa buku saba kutroll watu mitandaoni.
Utaendelea kuumia tu dada sisi tunapiga kazi tu. Wewe baki na wivu wako wa Chato wakati huna uwezo wakuiirudisha nyuma Chato itaendelea kwenda mbele tu. Utakufa na stress zako tu wewe ass!
 
Mh. Philip Mpango Alikuwa akimaanisha nini aliposema mjomba ilikuwa zamani. Zamani hiyo ni ipi? Je, kulikuwa na wajomba wengi waliokuwa wanabebwa?
 
Pigo kwa MATAGA kama wewe maana huyu mzee hapendagi kabisa kujikomba na kupelekewa majungu.

Kumbe ndiyo maana jana VICCM wakaamua kuomba radhi walishajua kuwa gang lao halina tena mashiko.
Ahahahaaa . . . yaani kata funua kuu. Nimefurahi sana walivyopigwa ya chembe aisee
 
Utaendelea kuumia tu dada sisi tunapiga kazi tu. Wewe baki na wivu wako wa Chato wakati huna uwezo wakuiirudisha nyuma Chato itaendelea kwenda mbele tu. Utakufa na stress zako tu wewe ass!

Sawa sekretari wa majalala. Enhee Leo akishatoka bungeni utakuwa unamhudumia hotel gani?
 
Mpango ana utulivu moyoni na akilini. Mh. Rais anatuonesha taswira ya utawala wake. Itakuwa ni awamu ya kutumia zaidi akili kuliko maguvu. Itakuwa awamu ya weledi na ustaarabu...
Mtanyooka tu.

Manakuja kwarangi nyingine ila wembe ni uleuletuu
 
Dotto james magufuli- katibu mkuu hazina
Harry james magufuli-mwenyekiti uvccm taifa
Ruth jonh magufuli- das morogoro

Niendelee kutaja?
 
Namuona Kimei akipiga jaramba nafasi aliyokuwapo dk Mpango ya uaziri wa fedha na mipango itamfaa sana.

Aah Thubutuu,ilisha enzi za Mkapa tu,subiri Mama atushangaze tena.
 
Sasa wanasaccos wakidhani yupo kinyume na JPM ww unaamini kuwa atafanya kazi kwa mtindo wa JPM?

Maamuzi ya mpango kuwa VP hayakuwa ya samia peke yake, ni top layer ya chama na yeye akiwemo, sababu ni utaalam wake wa masuala ya uchumi, uzoefu, utii kwenye maelekezo na kutokuwa sehemu ya makundi. Makundi ni sumu mbaya sana nchini.

Kwa taarifa tu ni kuwa miradi yote ya JPM sababu ya umuhimu wake katika nchi chama kimepanga kuipigania imalizike. Ila mtindo wa uongozi hautakuwa kama ule wa JPM unaoufahamu.
 
Praise team ya Magufuli ukituuliza tuli accomplish ni i cha kwanza ni Magufuli na waziri wake wa Fedha kukubali kuwa taasisi zilizoanzishwa kwa mitaji ya walipa kodi wanyonge serikali inazitumia ziwe za ujenzi u ziwe za bima ya afua au ziwe za shirika la ndege au ziwe benki nk Benki mfano zilikufa sababu serikali ilikuwa inaweka pesa private banks kwa maofisa serikali kuhongwa wapeleke huko pia Shirika la bima la taifa na bima ya afya walushindwa kufanya vizuri sababu maafisa seikali walikuwa wakihongwa wapeleke pesa private sekta ambako mtanzania alikuwa hapati gawio wala serikali

Tuliona kipindi cha Magufuli pote serikali ilikuwa na hisa ilipata gawio ambalo pesa zake zilienda kusaidia wanyonge

Ni kweli mihoteli private mingi ilikufa sababu ya sisi washauri wa mitandaoni kukomaa kuwa haiwezekani serikali kuu na ya mitaaa na mashirika wajenge kumbi za mikutano halafu mikutano ikafanyike hotel.ya private huo ni uhujumu.uchumi.wa serikali kwa wanamchi walipa kodi waliolipia ujenzi wa hizo kumbi .Tukashinda hoja praise team ya Magufuñi.We dont regret .Mpango linda Public capital isiwe eroded.Kila kilichoanzushwa na serikali kitumike na serikali.Ukiua mitaji ya umma utakuwa hutendi haki

La pili.tuñiñoshinda ni kuhakikisha sehemu zenye wapiga kuta wengi waliopigia CCM miradi mingi inapelekwa kwao hata Magufuli alisema mtu hunitaki halafu unataka nikuletee miradi na unanitukana kuwa hutaki maendeleo ya vitu sileti si hutaki

Lingine praise team Ya Magufuli tulishinda ni kuhakikisha wanyonge ambao ndio wapiga kura wengi wanapewa kipsumbele kuliko mifanyakazi ya serikali na middle income ambao hata kura huwa hawaendi kupiga ndio maana miradi mingi ilipelekwa maeneo ya wanyonge na Mambo mengi yalilenga wanyonge iwe maji iwe umeme iwe zahanati iwe barabara iwe elimu bure nk ilienga huko
Raisi mpya kaja praise team ya Magufuli tulijitahidi tuwezavyo sio kutafuta nafasi sijui ya uteuzi au nini tulitaka impact ionekane kwe nye watu wa chini na iliwezekana .Praise tem ya Mama Samia take over.Praise team ya Magufuli tuna log off j.Mission accomplished

Heshima ya kumhudumia mwanachi ipo nk

Issue si kugawana keki wengine tulibaki wapiga yowe sababu si kila mtu lazima apate uteuzi lakini tunashukuru impact imeonekana kupitiasisi wapiga yowe behind the scene Mengine Mungu atatuzawadia Mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…