Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Walikua wanasuggest mtu ambaye atagusa maslahi yao.ya kundi laoUchanganuzi mzuri,
Binafsi huwa siamini taarifa za hayo makundi.
Huenda ndio maana nikapata shida kuona ulichoona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walikua wanasuggest mtu ambaye atagusa maslahi yao.ya kundi laoUchanganuzi mzuri,
Binafsi huwa siamini taarifa za hayo makundi.
Huenda ndio maana nikapata shida kuona ulichoona.
Utaendelea kuumia tu dada sisi tunapiga kazi tu. Wewe baki na wivu wako wa Chato wakati huna uwezo wakuiirudisha nyuma Chato itaendelea kwenda mbele tu. Utakufa na stress zako tu wewe ass!Hakuna cha kazi ni Ile Ile msijipe moyo. Your dear Chato husband is gone. FOREVER. Na uzuri JF hamna kubadili username si mlizani atakaa milele. Mtaita maji mma.
This is another man's show. Hakuna tena kulipwa buku saba kutroll watu mitandaoni.
tena sanaZee la jalalani silikubali kabisa, ni linafiki sana
Unajifanya ujuwi ukweli etiii!?Acha chuki ww,lini Crdb ilikua ya familia ya Kimei!?
Aah wapi!?Huwa sina mpango naye dada!
Mkuu kosea vyote ila sio kugusa kwenye maslahi ya mtuUsihangaike na huyo hajui kitu huyo ni fuata upepo tu.
Ahahahaaa . . . yaani kata funua kuu. Nimefurahi sana walivyopigwa ya chembe aiseePigo kwa MATAGA kama wewe maana huyu mzee hapendagi kabisa kujikomba na kupelekewa majungu.
Kumbe ndiyo maana jana VICCM wakaamua kuomba radhi walishajua kuwa gang lao halina tena mashiko.
Wewe hujatoa sababu kwanini mpango ni team kikweteUkibisha uwe na sababu
Utaendelea kuumia tu dada sisi tunapiga kazi tu. Wewe baki na wivu wako wa Chato wakati huna uwezo wakuiirudisha nyuma Chato itaendelea kwenda mbele tu. Utakufa na stress zako tu wewe ass!
Mtanyooka tu.Mpango ana utulivu moyoni na akilini. Mh. Rais anatuonesha taswira ya utawala wake. Itakuwa ni awamu ya kutumia zaidi akili kuliko maguvu. Itakuwa awamu ya weledi na ustaarabu...
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyo jamaa ana nyota ya kutajwa sana, sijawahi kuona akifaa nafasi yoyote ya juu popote kiuongozi.
Sijui ni chuki zangu tu!!
Namuona Kimei akipiga jaramba nafasi aliyokuwapo dk Mpango ya uaziri wa fedha na mipango itamfaa sana.
Sasa wanasaccos wakidhani yupo kinyume na JPM ww unaamini kuwa atafanya kazi kwa mtindo wa JPM?Sisi tunamjua vizuri Dr. Mipango na ndiyo alikuwa nguzo ya maendeleo ya awamu ya tano ya Magufuli ndiyo maana hata Rais Mama Samia ameamua awe msaidizi wake wa karibu ili waweze kuendeleza kazi iliyoanzishwa na Serikali ya Awamu ya Tano. Miradi yote anaijua kwa ukaribu sana tu na ameshiriki kuiandaa. Sasa wanasaccos wanafikiri eti huyo yuko kinyume na Hayati Magufuli wakati huyo ndiyo alikuwa Waziri kipenzi cha Hayati Magufuli.
Umeona eehDaah . . . . . . kwa kweli aisee
Huamini?Okay,
Sema kuna uwezekano hata haya makundi yakawa yakusadikika tu Mkuu!