Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Hehehehe whistleblower wa Tanzania wanachat mitandaoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dotto james magufuli- katibu mkuu hazina
Harry james magufuli-mwenyekiti uvccm taifa
Ruth jonh magufuli- das morogoro

Niendelee kutaja?

huyo mtoto wa jiwe yeye ni DAS morogoro na mume wake ni DAS kilosa
 
Which is which, tuchukue la nani na tuache la nani. Za kuambiwa changanya na kwako. Mi nakula mlo mmoja kwa siku na maji ya kandoro na wanzangu 14mil alafu mtu aniambie tunatakiwa tukatoe misaada Canada!!! Dah mjomba alikuwa motivator sana.
 
huyo mtoto wa jiwe yeye ni DAS morogoro na mume wake ni DAS kilosa
Huu upuuzi unatakiwa ukomeshwe. Kama kila kiongozi atakuwa ana pachika watoto, wakwe na nduguze wengine itafika pahali nyadhifa zote za uongozi zitakaliwa na watoto wa vigogo watupu
 
Ngoja tusubiri tuone. Ni mapema sana kwa sasa kumhukumu.
 
Nimeandaa zawadi ya jogoo kwa mama Samia siku akifika kijijini kwetu.
 
Kwa mama Samia mmegonga mwamba kwani yeye hana mpango na wauza fitina na umbea kama gang lenu mlivyo lelewa
 
Kama kufanya kazi na serikali Kikwete umekuwa timu yake,basi hata JPM alikuwa timu ya Kikwete maana alikuwa waziri wa Kikwete kwa miaka kumi [emoji1][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1]
Mmekwama sukuma gang
 
Aah Thubutuu,ilisha enzi za Mkapa tu,subiri Mama atushangaze tena.
Wasukuma mlitegemea mtapata VP eee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Imekula kwenu, na kumbuka pale BOT panachunguzwa transaction zote kuanzia January, yule Msukuma mwenzenu wa hazina muandalieni ng'ombe wa kuchunga huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…