FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,169
- 13,455
Hehehehe whistleblower wa Tanzania wanachat mitandaoni 😂😂😂😂Ungemuuliza wewe unayemfatilia. Twitter namcheki Elon Musk na kabla ya sasa nilikuwa namfata Trump peke yao.
Sitomfatilia whistleblower anayeshinda mtandaoni. Whistleblowers huwa wanatoa taarifa mbili tatu tu kwa mwaka, basi. Kina Snowden hawakuwa wanachat mitandaoni na kuretweet