Kamuulize mkuuNilidhani yeye anakwenda kufanya yale atakayoagizwa na Rais kuyafanya, je ilikuwa sawa kuahidi yale aliyoyaahidi kufanya kabla ya kujua muelekeo wa boss wake?
Kwani ameahidi nini zaidi ya kupambana na umasikini na kuendeleza miradi iliyopo (ambao ndiyo mueleleo wa serikali ya CCM)? Hakuna ahadi mpya aliyotoa zaidi ya kupima mulemule alipopita Mama.Nilidhani yeye anakwenda kufanya yale atakayoagizwa na Rais kuyafanya, je ilikuwa sawa kuahidi yale aliyoyaahidi kufanya kabla ya kujua muelekeo wa boss wake?
Let's say afuate mawazo yako achukie hao wasukuma kama wewe..hizo kura za kuendelea kuongoza 2025 atazitoa wapi? Au umesahau kanda ya ziwa ndio ina kura ya turufu ya Urais?Tushawastukia nyinyi sukuma gang sasa hivi ndiyo mmeanza kuomba msamaha kwa wa Tanzania baada ya kuona mama Samia kaingia madarakani...
Mimi ningekuwa wa kwanza kuwaunga mkono ili muongezewe mishahara kama mngekuwa mnafanya kazi yenye matokeo chanya yanayopimika,kwa sababu nalipa kodi kwa lengo hilo. Sitaki kujua wewe uko ofisi gani au Idara ipi, ila naomba unitajie Idara moja tu huko Serikalini unayoamini kuwa watumishi wake wanajituma hadi kustahili nyongeza ya mshahara..... Hakuna! Sasa mnaomba kuongezewa mishahara kwa kazi gani mnayoifanya?.Wewe ndio katika lile kundi la watu wasioijua njaa,🤲eti tusiombe kuongezewa mishahara.Nyie ipo siku mtaijua njaa Kwa Uwezo Wa Muumba Mbingu na Ardhi.
Kwa nini aseme nchi ina masikini wengi????Kwani ameahidi nini zaidi ya kupambana na umasikini na kuendeleza miradi iliyopo (ambao ndiyo mueleleo wa serikali ya ccm)? Hakuna ahadi mpy aliyotoa zaidi ya kupima mulemule alipopita Mama.
Nilidhani yeye anakwenda kufanya yale atakayoagizwa na Rais kuyafanya, je ilikuwa sawa kuahidi yale aliyoyaahidi kufanya kabla ya kujua muelekeo wa boss wake?
Eti wanyonge si ni watu walionyongwa!? Nimewaza tu! Na Ni nani anewanyonga.Kwa nini aseme nchi ina masikini wengi????
Ufafanuzi please!
Kama ilivyokuwa 2015 kwa JPM, sasa hivi tena Chadema wako bize kumsifia, kumfundisha na kumpa maelekezo mbalimbali Rais Samia bila kujua kuwa huyo ni Rais anayetokana na CCM na anatekeleza ilani ya CCM.Muonee tu huruma! Athari za ule ugonjwa bado hazijaisha mwilini mwake kwa 100%
Hizo ni akili za kichaaLet's say afuate mawazo yako achukie hao wasukuma kama wewe..hizo kura za kuendelea kuongoza 2025 atazitoa wapi? Au umesahau kanda ya ziwa ndio ina kura ya turufu ya Urais?