Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Huyo mtu wa Kikwete alimtoa world bank 2007 kasome cv yake

But Allegiances can change due course!

Unless the late JPM was ‘advised’ by JK to take on VP Mpango as Minister then it doesn’t hold!

Unless you mean to say kwamba JK alikua na the whole plan since 2007 to date (2021) of the all Tanzania’s political arena!

If so, then the Serpent is on the move!!
 
Kwa katiba yetu hii, vp hatakiwi awe na mbwembwe wala tamaa, ninachoweza kusema tuzidi kumuombea mama yetu bila kukoma.
 
Nilidhani yeye anakwenda kufanya yale atakayoagizwa na Rais kuyafanya, je ilikuwa sawa kuahidi yale aliyoyaahidi kufanya kabla ya kujua muelekeo wa boss wake?
Amenikera Sana aliposema atatekeleza maono ya Magufuli. Kwa mtu ambaye ni bingwa wa uchumi maono ya Magufuli hayana mpangilio.
 
Mimi mkatoliki mwenzangu hata afanye madudu gani, hata aseme pumba gani, as long as ni mkatoliki and is at whelm, hata sijishughulish kumfatilia...nawaaamini sana hawa ndugu zangu katika bwana.
 
Pia naomba mama awateue pia Maria Sarungi pamoja na Fatuma Karume kwenye baraza lake la mawaziri.
 
Kuchafua nchini.au uongozi?
 
Nimekuwa kama nashindwa kushangaa wakati Mh. Spika Ndugai anasema jina bado hajalijua lakini wabunge wanashangilia sana je. Wanashangilia mtu au tukio tu.
 
Hao ni kama vichaa. Hakuna bunge hapo yani haiwezekani wafanane mawazo watu zaidi ya 300 hushangai hilo wote wamepiga kura ya Ndio?
 
Leo watu hufurahiii kwa kishindo ila hapo mbele zile kauli hafai mara oooh kafojii cv msijekutuambia huku
 
Ni sawa na kusema makamu wewe utakuwa na mafanyikio kuliko wate waliopita hata aliemaliza muda wake juzi hajafanya makubwa?
 
Nilimshangaa aliposema " Nitakuwa mwana CCM hadi mwisho wa maisha yangu" hii kauli haikutakiwa kutolewa na mtu mwenye PhD
 
my very own questions, will VP mpango perform like he did when he was financial minister?
for a while now, VP position has been taken for granted, some it as person who does light job for president. like uzinduzi and other things.

hii position ya VP sio kwamba wame suppress utendaji wa mpango?
 
Nilimshangaa aliposema " Nitakuwa mwana ccm hadi mwisho wa maisha yangu" hii kauli haikutakiwa kutolewa na mtu mwenye PhD
Ukiingia kwenye siasa, Ph.D unaweka pembeni.

Maneno mengine ni kwa "public consumption" zaidi.


Mpango ni bureaucrat, si mwanasiasa, labda ana overcompensate.

Huyo Nyerere mwenyewe aliyeianzisha CCM alisema CCM si mama yake, ikimzingua anaiacha.
 
Nilidhani yeye anakwenda kufanya yale atakayoagizwa na Rais kuyafanya, je ilikuwa sawa kuahidi yale aliyoyaahidi kufanya kabla ya kujua muelekeo wa boss wake?
Amemrahisishia boss wake kumjua msimamo wake atambue kila Rais na Aina yake ya Utawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…