Mpole!Mpango ni mpole mnoo!
We nae nini OscarsolomonFresh tu mi sina noma naye as long as hana tuhuma za ufisadi na ukandamizaji wa demokrasia
Ndo anailezea sasaiviTunaomba CV ya Mr Mpango
Wewe unapoongea hapa umepona magonjwa yako yote?Huyu jamaa kama alikubali kuletwa kuongea huku hajapona bila barakoa, kidogo anaonyesha ni mtu asiye na msimamo binafsi kufikia kutokujali afya yake.
SawaApendekezwa
Yule wanaomuamini ni misukule pekeekwa hapa kigogo kala za uso
Vipi Bwashee! Umeridhika na uteuzi lakini? Maana isije ikawa ulishanunua madumu ya ulanzi kitoka Tanangozi na Ifunda,na kudhani Makamu wa Rais atakuwa ni Mwanamke, tena wa kutokea hapo kwenu Iringa Mjini (Jesca Msambatavangu) Bwashee!!Kwa sasa yawezekana ni mapema mno kulielewa hili lakini huko mbeleni inaweza ikaeleweka.
Kwa sasa CAG yuko Hazina akichunguza mtiririko wa fedha kuanzia mwezi January hadi March, 2021 na ghafla waziri wa fedha Dr Mpango anapandishwa cheo
Ikumbuke January na February Dr Mpango hakuwepo ofisini kwa sababu za kiafya.
Kila zama na kitabu chake.
Maendeleo hayana vyama!
Hekima za mama kuwa yeye ni mpole na msaidizi wake ni mpole, watanzania wanahitaji upole kwa sasa.Mpango ni mpole mnoo!
Nani alikwambia aliletwa na si yeye alieamua kuzima ule uzushi, wabongo bhana, eti hana msimamo, kumaanisha angekataa wangemlazimisha, mnapenda sana kuzusha na kuforce nadharia za urongo urongo tu, patheticHuyu jamaa kama alikubali kuletwa kuongea huku hajapona bila barakoa, kidogo anaonyesha ni mtu asiye na msimamo binafsi kufikia kutokujali afya yake.