Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Kwa sasa yawezekana ni mapema mno kulielewa hili lakini huko mbeleni inaweza ikaeleweka.

Kwa sasa CAG yuko Hazina akichunguza mtiririko wa fedha kuanzia mwezi January hadi March, 2021 na ghafla waziri wa fedha Dr Mpango anapandishwa cheo

Ikumbuke January na February Dr Mpango hakuwepo ofisini kwa sababu za kiafya.

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
Vipi Bwashee! Umeridhika na uteuzi lakini? Maana isije ikawa ulishanunua madumu ya ulanzi kitoka Tanangozi na Ifunda,na kudhani Makamu wa Rais atakuwa ni Mwanamke, tena wa kutokea hapo kwenu Iringa Mjini (Jesca Msambatavangu) Bwashee!!
 
Huyu jamaa kama alikubali kuletwa kuongea huku hajapona bila barakoa, kidogo anaonyesha ni mtu asiye na msimamo binafsi kufikia kutokujali afya yake.
Nani alikwambia aliletwa na si yeye alieamua kuzima ule uzushi, wabongo bhana, eti hana msimamo, kumaanisha angekataa wangemlazimisha, mnapenda sana kuzusha na kuforce nadharia za urongo urongo tu, pathetic
 
Kazi zote njema ni kazi za Mungu.
Huyo ni Isdor Mpango
Naona kina Waitara na Silinde macho yamewatoka kama wamebanwa na mlango
 
Back
Top Bottom