Tunamuongelea Mpango, wewe na mimi hatukupewa nafasi kwenda kuongea na vyombo vya habari tukiwa wagonjwa.Wewe unapoongea hapa umepona magonjwa yako yote?
Inaonyesha Madam mkianza kumtajia tajia majina furani anayapiga wino mwekundu.Watu wanashindwa kutabiri kabisa
Madam president kawaacha hoi
huyu afadhali. bi mkubwa angechemsha sana kama angemchagua mwigulu.Ila Mpango namkubali kwa weledi wa kazi na msimamo wake. Unakumbuka habari ya Makontena ya Bashite?
Anaondolewa Hazina kiakili sana
Alitaka Rose Migiro sijui ndiyo hivyoVipi Bwashee! Umeridhika na uteuzi lakini? Maana isije ikawa ulishanunua madumu ya ulanzi kitoka Tanangozi na Ifunda,na kudhani Makamu wa Rais atakuwa ni Mwanamke, tena wa kutokea hapo kwenu Iringa Mjini (Jesca Msambatavangu) Bwashee!!
Ni mseminari kweli kweli huyu mwamba. Pia ni mtendaji mzuri, mtu asiyependa kelele na kufoka foka kama wengineNamsikiliza, kumbe kasoma Itaga Seminary kwa miaka miwili. Hapo ni kijiji changu. Hongera sana mheshimiwa.
Kusema ukweli anajitahidi sana. Na anaonekana kwa kiasi fulani ana hofu ya Mungu, siyo Mjivuni na mwenye maringo kama baadhi ya waliokua Mawaziri wenzake.Ila Mpango namkubali kwa weledi wa kazi na msimamo wake. Unakumbuka habari ya Makontena ya Bashite?
Wajinga tu ndio amewashika akiliMbona hii kigogo hajalipost kabla halijafika bungeni?kumbe naye ni mbabaishaji tu
huyu afadhali. bi mkubwa angechemsha sana kama angemchagua mwigulu.
How!!?I am sorry, Mpango hafai
Mpango new VP
Hahahaha mtanyooka tu!Bora hata ya huyo, kuliko Kabudi.
πππππ utapewa nafasi ya Herry James.. chukua kadi mapema.Kasome tena sasa, nimeshamalizia
Hata mim naiona dira.mi ni magufulian..so naiona mitazamo ya magu kwa mama huyuImepenya hiyooooooo
Hongera sana Philip Mpango kwa uteuzi
Tuna imani kubwa kwa Rais wetu Samia Suluhu Hassan, Mungu akutunze sana Madame
Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli, ujue tuu ulituachia viongozi makini sana
Ila aliyetungaga haka kawimbo sijui aliwazaga nini
Chama imara, serikali imara...... ngoja nikajiunge rasmi sasa nipate usajili wa chama kwa mara ya kwanza