Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Vipi Bwashee! Umeridhika na uteuzi lakini? Maana isije ikawa ulishanunua madumu ya ulanzi kitoka Tanangozi na Ifunda,na kudhani Makamu wa Rais atakuwa ni Mwanamke, tena wa kutokea hapo kwenu Iringa Mjini (Jesca Msambatavangu) Bwashee!!
Alitaka Rose Migiro sijui ndiyo hivyo
 
Imepenya hiyooooooo

Hongera sana Philip Mpango kwa uteuzi

Tuna imani kubwa kwa Rais wetu Samia Suluhu Hassan, Mungu akutunze sana Madame

Rest well our hero President John Pombe Joseph Magufuli, ujue tuu ulituachia viongozi makini sana

Ila aliyetungaga haka kawimbo sijui aliwazaga nini

Chama imara, serikali imara...... ngoja nikajiunge rasmi sasa nipate usajili wa chama kwa mara ya kwanza
Hata mim naiona dira.mi ni magufulian..so naiona mitazamo ya magu kwa mama huyu
 
Back
Top Bottom