Hajafit kwa nini Toa sababu za msingi au umlete shangazi yako awe makamu wa Rais.Seriuos..hajafit
alikuwa bize na TPA kakonkoMbona hii kigogo hajalipost kabla halijafika bungeni?kumbe naye ni mbabaishaji tu
Kusema ukweli anajitahidi sana. Na anaonekana kwa kiasi fulani ana hofu ya Mungu, siyo Mjivuni na mwenye maringo kama baadhi ya waliokua Mawaziri wenzake.
Naunga mkono hojahuyu afadhali. bi mkubwa angechemsha sana kama angemchagua mwigulu.
Huyu namkuunga mkono asilimia 100. Sio kwa sababu ni mpango bali kwa sababu wakati anateuliwa na rais JPM ktk speech yake alimtaja Lee Kuan Yew wa Singapole.
Nikajua mpango ni mtu mkubwa sana maana anajua watu waliofanya miujiza ya kiuchumi nchini mwao.
Pia sio mrohomroho wa madaraka kama wale tunaowafahamu.
Rais umenifurahisha.
Tuko pamoja,
Aliyemuibua Mpango ni Kikwete kwenye ule mradi wa Big ResultsYani hata uwezo wa ku analyze mambo huna...wewe ni chuki tu..sasa mpango ni legacy ya nani ? Alikuwa mtu anaaminiwa na nani? Mpango ameletwa na magufuli.
Madelu ni dikteta.udikteta umekoma 17/3huyu afadhali. bi mkubwa angechemsha sana kama angemchagua mwigulu.
Kwani Kigogo ni msemaji wa serikali au aliwahi sema ni lazima atoe kila taarifa. Unakaribishwa lift unapiga na honiMbona hii kigogo hajalipost kabla halijafika bungeni?kumbe naye ni mbabaishaji tu
Unasema Dr. Mpango mpole? Au kwa vile hafokifoki kama bwana yule. Naona humfahamu Dr. Mpango. Ngoja nikukumbushe kidogo. Unakumbuka alivyomwekea nguma Makond kuingiza makontena yake duty free. Hii ni pamoja n kwamba Makonda alikwa swahiba wa Rais. Inasemekana alikuwa tayari kujiuzulu kama kodi ya makontena yale isingelipwa. Huyu ana msimamo. Atamsaidia sana Rais Samia Suluhu Hassan, hususan kwa mabo ya uchumi.Mpango ni mpole mnoo!
January makamba yuko wapi hivi???
Muwe wapole tu mkuu! Kwa Kigogo anasemaje huko twiiitaaaa?Kidogo huyu hana mambo mengi anaweza kumsaidia mama suluhu
Spika Ndugai amesema bungeni na sasa amemualika mpambe wa Rais Samia kuleta jina la makamu wa Rais ndani ya bunge.