Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Huyu namkuunga mkono asilimia 100. Sio kwa sababu ni mpango bali kwa sababu wakati anateuliwa na rais JPM ktk speech yake alimtaja Lee Kuan Yew wa Singapole.

Nikajua mpango ni mtu mkubwa sana maana anajua watu waliofanya miujiza ya kiuchumi nchini mwao.


Pia sio mrohomroho wa madaraka kama wale tunaowafahamu.

Rais umenifurahisha.

Tuko pamoja,

yuko vizuri sna jamaa, ni kama hazina huyu jmaa kuwepo nchini
 
Huyu mama anaenda kutuibia watanganyika, kwa kutuwekea mtu bomu pale Hazina. Kwa mara ya kwanza tangu napata fahamu Watanganyika tumekuwa na waziri wa fedha asiyetuibia. Sasa ku toa hapo ni mipango ya wizi TU.
 
Mpango ana utulivu moyoni na akilini. Mh. Rais anatuonesha taswira ya utawala wake. Itakuwa ni awamu ya kutumia zaidi akili kuliko maguvu. Itakuwa awamu ya weledi na ustaarabu.

Mawaziri wale wenye huluka ya kutumia zaid akili kuliko nguvu, wenyebule usjba wa madaraka, wenye asili ya kusifia kwa unafiki, watambue kuwa hii siyo awamu yao, ni misfit.

Watu wale wenye tabia za kufanana na akina Kabudi au Nchemba, hawastahili kwenye awamu hii.
 
U
Mpango ni mpole mnoo!
Unasema Dr. Mpango mpole? Au kwa vile hafokifoki kama bwana yule. Naona humfahamu Dr. Mpango. Ngoja nikukumbushe kidogo. Unakumbuka alivyomwekea nguma Makond kuingiza makontena yake duty free. Hii ni pamoja n kwamba Makonda alikwa swahiba wa Rais. Inasemekana alikuwa tayari kujiuzulu kama kodi ya makontena yale isingelipwa. Huyu ana msimamo. Atamsaidia sana Rais Samia Suluhu Hassan, hususan kwa mabo ya uchumi.
 
Back
Top Bottom