Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mpango ni Sukuma Gang, Aisee. Kweli kazi ipo.
Wachana na hilo MATAGA yamekuwa kama hata std seven hayakupita kabisa
 
Kabudi should be next. Samia should remove Palamagamba kwenye hiyo wizara ya mambo ya nje. Haiwezi.

Kwa miaka mitano na nusu iliyopita ni kama tulitengwa hivi na allies wetu kama Marekani na nchi za Europe, tukaanza kuengage sana wachina, which is way dangerous.

Achaguliwe mtu anayeweza kurudisha mahusiano yetu na Marekani km ilivyokuwa zamani na nchi za ulaya. Just imagine Kuna kipindi mpaka US presidents walikuwa wa nakuja Tanzania, alivyoingia majalala US department of foreign affairs hata msiba wa jiwe hawakupost. Ni crises.

Huwezi ukaenda kwenye UN General assembly ukaanza kuongelea jinsi awamu ya tano Inatengeneza vyoo kwa kasi. Tunachekwa!
Wewe tulia sisi tunaendelea na kazi tu achana na udaku wako.
 
Niko maporini mkuu....netwek sio rafiki

Na kusubiria maana naanza kuona Mzani ukiangukia upande wa Uzalendo zaidi kwa huyu Kigogo kwa sasa.

Pongezi kwa wote Wazalendo wa Taifa hili Hatuwezi kuwataja lakini kazi yenu tumeiona imetukuka kwa kweli kuhusu Jina la Makamu wa Rais Mteule. Mbarikiwe Wote na Mungu wa Mbinguni pamoja na Boss wenu.
 
Kabudi should be next. Samia should remove Palamagamba kwenye hiyo wizara ya mambo ya nje. Haiwezi.

Kwa miaka mitano na nusu iliyopita ni kama tulitengwa hivi na allies wetu kama Marekani na nchi za Europe, tukaanza kuengage sana wachina, which is way dangerous.

Achaguliwe mtu anayeweza kurudisha mahusiano yetu na Marekani km ilivyokuwa zamani na nchi za ulaya. Just imagine Kuna kipindi mpaka US presidents walikuwa wa nakuja Tanzania, alivyoingia majalala US department of foreign affairs hata msiba wa jiwe hawakupost. Ni crises.

Huwezi ukaenda kwenye UN General assembly ukaanza kuongelea jinsi awamu ya tano Inatengeneza vyoo kwa kasi. Tunachekwa!
Upo sahihi na naamini kwa uwezo wa ahlla anafyekelewa mbali
 
Mpuuzi tu huyo hana lolote zaidi ya kupaparika tu maana anajua kabisa kuwa gang lao ndiyo kwishney
Wanafikiri nchi itaendelea kuwa kama kipindi cha JPM.
Samia si Jpm. Mambo mengi sana yanaenda kuwa tofauti.
 
[emoji23][emoji23]

Umeniacha hoi mimi tomaso wa macho na akili..

Nimepekecha macho wee ili nione na kuchanganya akili wee ili ning'amue ulichogundua ila wapi..

Mkuu Umeguduaje ulichogundua?
Hahahaa
Mkuu nimegundua kwa kugunduaa

Kuna watu pale utaskia ooh bashiru.
Upande huu unasikia oh makamba
Ukirudi huku oh nchimbi

Mama akaona hii hapana

Yeye ndo raid ndo ana maamuzi ya mwisho,anayo haki ya kuona yule anaefaa kwa sababu zile anazoielewa mwenyewe

Kwa uteuzi wa mpango,makundi yote yameachwa solemba.
 
Wanafikiri nchi itaendelea kuwa kama kipindi cha JPM.
Samia si Jpm. Mambo mengi sana yanaenda kuwa tofauti.
Hilo ndiyo tatizo walilonalo hao waliokuwa wamemzunguka jpm na hawataki kusikia mabadiliko maana walikuwa wanajidanganya kuwa atatawala milele kama m7
 
leo upande ule haumpongezi makamu wa rais?au ndo ule msemo usiyemtaka kaja.
 
Hahahaa
Mkuu nimegundua kwa kugunduaa

Kuna watu pale utaskia ooh bashiru.
Upande huu unasikia oh makamba
Ukirudi huku oh nchimbi

Mama akaona hii hapana

Yeye ndo raid ndo ana maamuzi ya mwisho,anayo haki ya kuona yule anaefaa kwa sababu zile anazoielewa mwenyewe

Kwa uteuzi wa mpango,makundi yote yameachwa solemba.
Kwa taarifa yako Mpango ni team Kikwete.
 
Back
Top Bottom