Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
It is very unfortunate, baadhi ya Watanzania wenzetu, ni macho yao ni myopic, uwezo wao wa kuona ni mpaka mwisho wa pua zao, na pia licha ya kuwa na myopia, pia wana impaired vision, uwezo wao wa uoni ni unidirectional, wanaona upande mmoja tuu pekee, ule upande wa mabaya na mapungufu na negatives tuu, upande wa mema, mazuri na positives, wao, hawaoni, hivyo kazi yao ni kulalamika tuu, kulaani na kushutumu, na wewe ni miongoni mwao.Uongo huu peleka kwingine. Wachumia tumbo hapa JF wanajulikana wazi kabisa. Ni watu ambao hawajitambui na hawana misimamo hata chembe. Unakuwaje msomi halafu huoni udikteta, dhuluma na udhalimu wa dikteta mwendazake/Chifu hang ya? Kila leo ni kuunga mkono hoja tu za kipuuzi kusifia yasiyostahili kusifiwa. Nchi iko njia panda kila kitu hovyo uchumi ulianza kuyumba tangu 2016 lakini wewe mchumia tumbo hukuliona hilo na COVID-19 ikaumalizia kabisa. Sera MUFILISI zilizoua uchumi bado zinaendelezwa lakini bado hujastuka tu!!! 😩😩😩
Kutokana na kuwa one sised, hata mabandiko yangu yanayokosoa, huyaoni, unayaona yanayosifia tuu. Ukiwa mkweli wa dhati toka ndani ya nafsi yako, utayaona mazuri na utasifu mna kukosoa mabaya. Haiwezekani watu mnao mabaya tuu, huo ni ushetani.
Karibu mitaa hii
Kati ya wakosoaji wa Rais Magufuli na Serikali yake, na wasifiaji nani wanamsaidia zaidi? Ijue nafasi ya JamiiForums
Wanabodi, Hii ni thread ya Swali, Kati ya wakosoaji wa Rais Magufuli na serikali yake na wasifiaji, nani wanamsaidia zaidi Rais Magufuli na serikali yake?. Kwa ukosoaji unaofanyika humu JF, Je sisi JF, tunamsaidia Rais Magufuli na serikali yake au tunamdhalilisha? Je, ukosoaji wetu wa JF...